Huyu Angela Kizigha ni nani hasa huko CCM au serikalini?

Anaemfahamu kwa undani huyu mama tunaomba uzi wake hapa ! Katajwa san na inaonekana anamkaribia Rostam kwa Upiga
Huyo ni mtoto wa marehemu Charles Kizigha aliekua mwandishi mstaafu wa magazeti ya Daily news na Sunday news na huyo mzee ni rafiki wa karibu wa mzee wa msoga.

Hivyo ukiona matendo ya huyo mama kama ni heri au shari ujue yana uungwaji mkono toka kwa mzee wa msoga.
Picha chini ni marehemu Charles Kizigha akiwa na !!!!!!!!!!!??????
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    29.3 KB · Views: 73
Hao ndio watu wa CCM, Kuna mtu atakuja kulipa madeni makubwa aliyosababisha kwenye hii nchi yeye na kizazi chake chote namaanisha mzee wa msoga.
Aina nyingi za ufisadi katika hii nchi ni anahusika kwa namna moja ama nyingine.
 
Attachments

  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    48.9 KB · Views: 67
  • images.jpeg
    images.jpeg
    29.3 KB · Views: 68
  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    48.1 KB · Views: 71
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    34.4 KB · Views: 69
  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    36.9 KB · Views: 78
Kama hakuna hatua kali za kutokomeza wauwaji wa Magufuli hazitachukuliwa basi wapeni muda 2030 haifiki mtawazika wanamtandao wengi sana
 
Huyo ni mtoto wa marehemu Charles Kizigha aliekua mwandishi mstaafu wa magazeti ya Daily news na Sunday news na huyo mzee ni rafiki wa karibu wa mzee wa msoga.

Hivyo ukiona matendo ya huyo mama kama ni heri au shari ujue yana uungwaji mkono toka kwa mzee wa msoga.
Picha chini ni marehemu Charles Kizigha akiwa na !!!!!!!!!!!??????
Jk namuona hama yule Egg (Humpty Dumpty) kwenye movie ya puss in boots, kila mission nyuma yake yupo Humpty....jk 🙌🙌🙌🙌
 
Huyo ni mtoto wa marehemu Charles Kizigha aliekua mwandishi mstaafu wa magazeti ya Daily news na Sunday news na huyo mzee ni rafiki wa karibu wa mzee wa msoga.

Hivyo ukiona matendo ya huyo mama kama ni heri au shari ujue yana uungwaji mkono toka kwa mzee wa msoga.
Picha chini ni marehemu Charles Kizigha akiwa na !!!!!!!!!!!??????
Ndio maana hakamatwi kumbe ana backup ya Rais Mstaafu ? Basi inawezekana zile Bilioni 60 walipiga wote maana haiwezekani upate Tender kubwa vile na usipeleke hata sample na bado ukapewa na Cheo na hakuna wa kuuliza. bilioni 60 ? Aiseee
 
Hao ndio watu wa CCM, Kuna mtu atakuja kulipa madeni makubwa aliyosababisha kwenye hii nchi yeye na kizazi chake chote namaanisha mzee wa msoga.
Aina nyingi za ufisadi katika hii nchi ni anahusika kwa namna moja ama nyingine.
Na CCM hawachukui hatua yoyote zaidi wanampa vyeo zaidi ? Na kumweka Ikulu karibu na Raisi ..... hivi sisi ngozi nyeusi tulikosea nini kwa Mungu ?
 
Ndio maana hakamatwi kumbe ana backup ya Rais Mstaafu ? Basi inawezekana zile Bilioni 60 walipiga wote maana haiwezekani upate Tender kubwa vile na usipeleke hata sample na bado ukapewa na Cheo na hakuna wa kuuliza. bilioni 60 ? Aiseee
Kuna mda unajiuliza kwamba labda JK sio mtanzania ila ni clone yake ambayo hatujui, maana kwa jinsi anavyotukomesha kwa uharibifu mkubwa wa utaratibu na rasilimali za nchi ni kama anatukomoa na hao fisi anaowafuga wanakula Kila rasilimali za hii nchi.
Inasikitisha sana
 
Na CCM hawachukui hatua yoyote zaidi wanampa vyeo zaidi ? Na kumweka Ikulu karibu na Raisi ..... hivi sisi ngozi nyeusi tulikosea nini kwa Mungu ?
Hiyo yote ni michezo ya JK, na hao ni sehemu ya fisi anaowafuga kwa ajili ya kula rasilimali za hii nchi.
Kuna fisi wengi anaofuga JK wanakula rasilimali za hii nchi, hao waliojulikana ni sehemu ndogo ya fisi ambao hawajafahamika ila wako wakila rasilimali za hii nchi hadi mda huu.
JK atakuja kulipa pakubwa sana yeye na kizazi chake chote kwa namna anavyoharibu rasilimali za hii nchi.
 
Maskini huwa wana kelele sana ndio maana wenye hela huwa wanajitenga na kwenda mbali zaidi kama Mbweni na Masaki...
Hata mimi nikizishika nahama uswahilini......
 
Hiyo yote ni michezo ya JK, na hao ni sehemu ya fisi anaowafuga kwa ajili ya kula rasilimali za hii nchi.
Kuna fisi wengi anaofuga JK wanakula rasilimali za hii nchi, hao waliojulikana ni sehemu ndogo ya fisi ambao hawajafahamika ila wako wakila rasilimali za hii nchi hadi mda huu.
JK atakuja kulipa pakubwa sana yeye na kizazi chake chote kwa namna anavyoharibu rasilimali za hii nchi.
Wakati Saddam Hussein ananyongwa nilihuzunika sana, kumbe hakuna njia sahihi ya kuwakumbusha binadamu maovu kama hii ya kuwanyonga.

Mungu akimchukuwa JK kutakuwa na sherehe za kitaifa nchi nzima.
 
Back
Top Bottom