Huyu Angela Kizigha ni nani hasa huko CCM au serikalini?

Huyu Angela Kizigha ni nani hasa huko CCM au serikalini?

Jana kuna memba( kimsboy )alimwaga mboga humu jukwaani akaeleza namna hela ambazo magu aligoma zisilipwe kwenye kampuni yake huyo mama, ila utawala mpya ulivyoingia hela ikalipwa.

Jamaa kaandika mpaka akaunti zao, tarehe hela ilivyotoka, namna walivyogawana, kuna akaunti mpaka za wake za mawaziri hela hizo ziliwekwa.

Ila jf wakaona ni bora kuufutilia mbali.

Screenshot_20250831-153345_Chrome.jpg
 
Wakati Saddam Hussein ananyongwa nilihuzunika sana, kumbe hakuna njia sahihi ya kuwakumbusha binadamu maovu kama hii ya kuwanyonga.

Mungu akimchukuwa JK kutakuwa na sherehe za kitaifa nchi nzima.
JK ameshatoka kuwa kipenzi cha Taifa hadi kuwa mtu wa kusherehekewa kifo chake?! Kweli anazeeka vibaya.
 
Anaemfahamu kwa undani huyu mama tunaomba uzi wake hapa ! Katajwa san na inaonekana anamkaribia Rostam kwa Upigaji
Ni kada kindaki ndaki mwenye roho kama ya dc wa kisarawe mamaa ya mkubwa mstaafu tangu zamani zamani ambae kwa sasa amechukua mikoba ya lugumi na anakula na mama na mstaafu kila kinachoingia hapa nchini ,kama huko jw ndo usiseme anakula cha jua balaa
Naomba niishie hapo
 
Halafu ana habari kama akijatokea kitu, mzee mishipa ya aibu imeshakatika kitambo
Huyo mzee ni kama mtu aliekula nyama ya mtu, hivyo anatamani kula tena na Tena,
Ila huo ulafi utakuja kumtesa sana yeye na kizazi chake chote
 
Back
Top Bottom