Huyu askari Magereza aliyepishana Lugha na hayati JPM alifutwa kazi? Kama alifutwa kazi sasa yupo wapi?

Jiwe limebondeka jamaa bado yuko anadunda.. Mungu huyu...[emoji848][emoji2827]
Huyu bwana ni mhaya wa muleba kwao ni iangilo,siku Ile Ile aliamishiwa kisiwa Cha ukelewe kwa cheo kile kile alivoripoti alitoa barua ya kuacha kazi kwa heshima akakubaliwa na hivi Sasa ni Raia mwema hasiye na bugudha.
 
Mungu huyo huyo pia ndiye huwa anaruhusu watoto wachanga wafe siku ya kuzaliwa.

Msiwe watumwa kifikra kwa siasa zenu uchwara hadi kumsingizia MUNGU kila kitu.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Akili za hawa jamaa wanazijua wao.ati kifo ni adhabu toka kwa Mungu akifariki mtu wasiyempenda. Vipi kuhusu Regia Mtema, Ndesamburo na Yule mwana Jf handsome alikuwa anagombea ubunge Tanga akafariki kwa ajari 2015 nao ni adhabu toka Mungu?
 
Kalikenya aliyemchoma kwa mkuu alishaachiwa kutoka Butimba so yuko mtaani sasa Afande naye hana kazi ana'haso' kitaa sijui nini kitatokea wakikutana,,
Nilimsikiliza huyo mfungwa aise dunia ni ngumu. Jamaa alikuwa na kesi ya kulawiti aliyosingiziwa/kutengenezewa na hawala yake akiwa Dar Es Salaam baada ya kumkopesha laki tatu aendeshee biashara yake jamaa alianza kumsumbua amrudishie hela yake ndipo aliposhirikiana na watu fulani jamaa akapewa hiyo kesi.

Ila huyo jamaa ana confidence sana, mama Samia kaja kumtoa majuzi
 
Acha kujificha kwa watoto wachanga. Kwa kiburi alichokuwa nacho, na kujimwabafy sidhani Kama hata Mungu anpendelea aendelee kuishi.
Linapokuja swala la kuishi ndo utashangaa maajabu ya huyo MUNGU.

JPM na ubaya wake kaikata miaka 60 duniani, mtoto ambae hana dhambi anakufa siku akiwa anazaliwa.

Wewe hapo pamoja na kujiona msafi kuliko huyo JPM bado hauna uhakika wa kufika miaka 60😂.

Kifo cha mtu huwezi kukitumia kama ishara ya wingi wa dhambi zake, kwakua muda wowote ni lazima UFE bila kujali una dhambi kama za JPM au unaishi kama malaika.
 
Wanawake ni nyoka, hasa wanaponogeshwa na wanaume wengine nje ya ndoa.

Wewe ukiona humuelewi, fukuza au achana nae kabisa.
 
Akili za hawa jamaa wanazijua wao.ati kifo ni adhabu toka kwa Mungu akifariki mtu wasiyempenda. Vipi kuhusu Regia Mtema, Ndesamburo na Yule mwana Jf handsome alikuwa anagombea ubunge Tanga akafariki kwa ajari 2015 nao ni adhabu toka Mungu?
Mapuuzi sana hayo mawatu, akina Deo Filikunjombe na Mtikila nao ni adhabu?

Isitoshe yenyewe yalipo hapo yana madudu tele lakini Mungu anayavumilia yasife mapema ili yaungame dhambi zao na kubadilika lakini kwa upumbavu wao yanaona ndiyo yanayopendwa saaaana na Mungu hadi kujihesabia haki [emoji38]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Huyu bwana ni mhaya wa muleba kwao ni iangilo,siku Ile Ile aliamishiwa kisiwa Cha ukelewe kwa cheo kile kile alivoripoti alitoa barua ya kuacha kazi kwa heshima akakubaliwa na hivi Sasa ni Raia mwema hasiye na bugudha.
Huo ndio ujasiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…