sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Huyu bwana ni mhaya wa muleba kwao ni iangilo,siku Ile Ile aliamishiwa kisiwa Cha ukelewe kwa cheo kile kile alivoripoti alitoa barua ya kuacha kazi kwa heshima akakubaliwa na hivi Sasa ni Raia mwema hasiye na bugudha.Jiwe limebondeka jamaa bado yuko anadunda.. Mungu huyu...[emoji848][emoji2827]