Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Kwa nini ashitakiwe kwa mungu wakati wananchi wenye nchi tupo?Mshitakieni kwa Mungu
Hawa watu ilikuwa ni wa kumalizana nao huko mitaani tu.Allegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.
Ndo kapiga watu na hicho kitimoto chake. Sijui ni kitimoto cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.
Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi?
Au na yeye anaishi hapa hapa duniani kwenye sehemu iitwayo Tanzania na mahsusi jiji la Dar es Salaam?
Kinachoeleweka huwa hakihitaji maelezo 😉.
View attachment 3353736View attachment 3353737
View: https://youtu.be/1WbQeDj74kc?si=0LV7gm_K_L0cUFj3
💯%.Hawa watu ilikuwa ni wa kumalizana nao huko mitaani tu.
Kuna wakati inabidi watu wawe na common sense
Anatimiza majukumu yake ya kila siku.Allegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.
Ndo kapiga watu na hicho kitimoto chake. Sijui ni kitimoto cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.
Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi?
Au na yeye anaishi hapa hapa duniani kwenye sehemu iitwayo Tanzania na mahsusi jiji la Dar es Salaam?
Kinachoeleweka huwa hakihitaji maelezo 😉.
View attachment 3353736View attachment 3353737
View: https://youtu.be/1WbQeDj74kc?si=0LV7gm_K_L0cUFj3
Wasivyo na akili, wazo la kwamba hawana uwezo wa kuwazuia watu zaidi ya milioni 60, hawana.Haya tunayoyaona sasa ndio yalikuwa yanatatokea south Africa miaka ya 90.
Kwani we ulitaka wapetipeti!!? Ha ha ha! Hamna akili, hata mahakamani mkaanza makelele, hovyo kabisa nyie.Allegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.
Ndo kapiga watu na hicho kitimoto chake. Sijui ni kitimoto cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.
Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi?
Au na yeye anaishi hapa hapa duniani kwenye sehemu iitwayo Tanzania na mahsusi jiji la Dar es Salaam?
Kinachoeleweka huwa hakihitaji maelezo 😉.
View attachment 3353736View attachment 3353737
View: https://youtu.be/1WbQeDj74kc?si=0LV7gm_K_L0cUFj3
🖕Kwani we ulitaka wapetipeti!!? Ha ha ha! Hamna akili, hata mahakamani mkaanza makelele, hovyo kabisa nyie.
Hii ndo imetufikisha hapa tulipo, bado tu tusubiri hiyo mahali punda agome? Itakuwa wapi na lini?Ila hata punda huwa inafikia mahali anagoma……
Sijui itakuwa wapi na lini. Itajulikana siku ya siku ikifika.Hii ndo imetufikisha hapa tulipo, bado tu tusubiri hiyo mahali punda agome? Itakuwa wapi na lini?