residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Hamza hakuacha funzo au tu waoga kupindukia ndugu Nyani Ngabu .Kwa nini ashitakiwe kwa mungu wakati wananchi wenye nchi tupo?
Tanzania haina wafanya vurugu, wanawaonea tu.Wasivyo na akili, wazo la kwamba hawana uwezo wa kuwazuia watu zaidi ya milioni 60, hawana.
Watanzania tupo kama punda. Ila hata punda huwa inafikia mahali anagoma……
Unampongeza kupiga watanganyika wenzie kwa kumfurahisha mzanzibari?Safi sana afisa amefanya kazi nzuri , nampongeza
Hizi ni zama za AI, cyber warfare, n.k.Tanzania haina wafanya vurugu, wanawaonea tu.
Kama Tanzania ingekuwa na wafanya vurugu hakuna Polisi wa kuzuia, na hata wangetumwa na nani wote wangegoma kutoka.
Nchi hii wala hauhitaji kuungwa mkno na mikoa yote. Unachukua Mtwara, Mwanza, Arusha na Mbeya, hiyo mikoa pekee ukikutana na wana mikakati inatosha sana kufanya chochote kile.
Ila huenda wakakipata wakitakacho myda si mrefu.
Uzuri kesi ya Lissu imebeba attention ya K8ma5aifa, na walivyo smart wamemteua kuwa Mwenyekiti wa IDU. Hiyo ni nafasi muhimu sana nyakati hizi za kuelekea uchaguzi mkuu, kwani sasa watu wamepata sababu ya kwenda Tanzania kufuatilia kesi ya Makamu Mwenyek8ti wa IDU, hapo hadi majasusi wataingia kirahisi sana kufanya majukumu yao.
Sasa hivi kila wakifanyacho kinageuka sumu kwao.
Mtanganyika mpumbavu kama wewe ulitakiwa uvunjwe kabisa kata kiuno na ulowekwe kwenye HCLUn
Unampongeza kupiga watanganyika wenzie kwa kumfurahisha mzanzibari?
Tofauti ya ubongo wako na mavi ni temperature tu.
hadi aibu! assistant commissioner wa polisi kabisaAllegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.
Ndo kapiga watu na hicho kitimoto chake. Sijui ni kitimoto cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.
Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi?
Au na yeye anaishi hapa hapa duniani kwenye sehemu iitwayo Tanzania na mahsusi jiji la Dar es Salaam?
Kinachoeleweka huwa hakihitaji maelezo 😉.
View attachment 3353736View attachment 3353737
View: https://youtu.be/1WbQeDj74kc?si=0LV7gm_K_L0cUFj3
Ni mambo ya ajabu kabisa haya.Allegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.
Ndo kapiga watu na hicho kitimoto chake. Sijui ni kitimoto cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.
Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi?
Au na yeye anaishi hapa hapa duniani kwenye sehemu iitwayo Tanzania na mahsusi jiji la Dar es Salaam?
Kinachoeleweka huwa hakihitaji maelezo 😉.
View attachment 3353736View attachment 3353737
View: https://youtu.be/1WbQeDj74kc?si=0LV7gm_K_L0cUFj3
WakomeAllegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.

Humo kwenye hydrochloric acid labda yalowekwe Matako yako.Mtanganyika mpumbavu kama wewe ulitakiwa uvunjwe kabisa kata kiuno na ulowekwe kwenye HCL
Hao watu siku zao zinahesabika.hadi aibu! assistant commissioner wa polisi kabisa
Utakua wa demo halafu wapuzi wenzako watajifunzaHumo kwenye hydrochloric acid labda yalowekwe Matako yako.
Umeambiwa mahakama hubeba watu 80 na imejaa, unaendelea kubwabwaja!Hawa watu wanatengeneza visasi.. Siku mambo yakiharibika hakuna atakayepona
Kuna tindikali, kuna sumu, ingawa siamini katika uchawi…..kama huo uchawi unafanya kazi….warogwe.Ashighulikiwe na kila mtu atakayekuwa karibu naye, hata jadi itumike
Huwezi kunielewaUmeambiwa mahakama hubeba watu 80 na imejaa, unaendelea kubwabwaja!