Nachoshangaa wako wepesi sana kupiga watu hata dialogue za kawaida. Watu wala hawako violentAllegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.
Ndo kapiga watu na hicho kitimoto chake. Sijui ni kitimoto cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.
Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi?
Au na yeye anaishi hapa hapa duniani kwenye sehemu iitwayo Tanzania na mahsusi jiji la Dar es Salaam?
Kinachoeleweka huwa hakihitaji maelezo 😉.
View attachment 3353736View attachment 3353737
View: https://youtu.be/1WbQeDj74kc?si=0LV7gm_K_L0cUFj3
siku zao sio nyingi na walivyo vilaza hawajui hata kusoma alama za nyakatiAllegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.
Ndo kapiga watu na hicho kitimoto chake. Sijui ni kitimoto cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.
Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi?
Au na yeye anaishi hapa hapa duniani kwenye sehemu iitwayo Tanzania na mahsusi jiji la Dar es Salaam?
Kinachoeleweka huwa hakihitaji maelezo 😉.
View attachment 3353736View attachment 3353737
View: https://youtu.be/1WbQeDj74kc?si=0LV7gm_K_L0cUFj3
Tulipofikia ni bora tufe wote tuHawa watu wanatengeneza visasi.. Siku mambo yakiharibika hakuna atakayepona
Ananyoosha kama vile anakata mtu!Allegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.
Ndo kapiga watu na hicho kitimoto chake. Sijui ni kitimoto cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.
Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi?
Au na yeye anaishi hapa hapa duniani kwenye sehemu iitwayo Tanzania na mahsusi jiji la Dar es Salaam?
Kinachoeleweka huwa hakihitaji maelezo 😉.
View attachment 3353736View attachment 3353737
View: https://youtu.be/1WbQeDj74kc?si=0LV7gm_K_L0cUFj3
Hamza alitenda haki kumbeHawa watu ilikuwa ni wa kumalizana nao huko mitaani tu.
Kuna wakati inabidi watu wawe na common sense
Sema raia ni waoga sana. Wako kwenye baa za uraiani muda wote na mbaya zaidi wanawake ndiyo ugonjwa wao.Wakiwa uraiani huwa na maisha magumu kweli kweli
Ova
HUYU mlevi jamani ni kumvizia baba na kumkumbusha alichofanya na kumpa kichapoAllegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.
Ndo kapiga watu na hicho kitimoto chake. Sijui ni kitimoto cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.
Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi?
Au na yeye anaishi hapa hapa duniani kwenye sehemu iitwayo Tanzania na mahsusi jiji la Dar es Salaam?
Kinachoeleweka huwa hakihitaji maelezo 😉.
View attachment 3353736View attachment 3353737
View: https://youtu.be/1WbQeDj74kc?si=0LV7gm_K_L0cUFj3
Hili ndilo wanalolitaka sana Genge la Samia wakati huu.Hawa watu ilikuwa ni wa kumalizana nao huko mitaani tu.
Kuna wakati inabidi watu wawe na common sense
MbwaKwani we ulitaka wapetipeti!!? Ha ha ha! Hamna akili, hata mahakamani mkaanza makelele, hovyo kabisa nyie.