Huyu askari polisi ndo kapiga watu nje ya mahakama ya Kisutu leo, ‘allegedly’

Kuna ka uthubutu fulani hv watz tunakakosa, ingekuwa Kenya huyo askari angejutia huo ungese aliufanya hapo leo!
Lakini tutafikia tu levo hizo, mdogo mdogo!
Taratibu kwanza, kusiwe na papara.

Unajuwa Kenya kila mwaka watu wanaouliwa na polisi ni wangapi?
Mfano wa Kenya siyo wa kuutumia hapa kwetu.

Tuvute subira kidogo, kwani Samia na Genge lake anatuelekeza huko kwenye kushughulika na hawa waovu kwa njia zetu wenyewe, na siyo lazima iwe kwa njia za hao waKenya.

Kwa mfano: Kumshughulikia mtu (polisi) kama huyu hapa kwenye picha, anayejituma tu yeyeb mwenyewe, kwa utashi wake kuumiza wengine, bila ya kuwepo na vurugu zozote; haihitaji kuwahusisha polisi wengine wote katika kulipiza uovu unaofanywa na hao wachache, kama huyu.
 
ni vizuri kaidi jeuri akatiwa adabu kidogo
 
Watanzania Sisi ni mapang'ang'a! Ingekuwa Kenya kesho yake wanamwokota kwenye msitu wa Pugu!
 
Afande yuko kazini kwake,anatimiza majukumu yake ya kazi.
 
Unipige tena mahakamani na kosa sina???

Si nakuvizia hapo hapo, nakupiga u can't see me ya John cena halafu kama mnanipiga risasi nipigeni tu.
 
Ni ngumu sana kuanza kupiga watu bila sababu kwahyo kipo chanzo na naomba tujuzwe kwanini alianza kuwapiga
 
Watanzania wameshindwa kutafuta hapo hata kumi tu wawafuate mitaani kwao.

Tusaidiane tukipata hata wanne tu labda wengine watashika adabu.
 
Siro aliwahi kusema ,kuna maisha baada ya uaskali, siku hazigandi tutakutana tu mbele ya safari
 
Tanzagiza
 
Kalivyo kazee ningekavuta pumbuz zake, na asingeniona hapo hata kumpa teke la nyuma. Wao wanafikiria upolisi ni kutandika tu watu, haka kakistaafu kawe kanajikojolea na kupuu kwa pamoja kaishi kwa shida sana.
 
Hawa watu ilikuwa ni wa kumalizana nao huko mitaani tu.
Kuna wakati inabidi watu wawe na common sense
Wito na taarifa ya Mahakama mbona ilikua wazi,watu 80 tu wengine wafuatilie kwenye mitandao. Hakuna mtu au serikali inayoweza kuvumilia utovu huo.Umeambia ondoka wewe unakaidi unataka nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…