Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
- Thread starter
-
- #81
👏Kalivyo kazee ningekavuta pumbuz zake, na asingeniona hapo hata kumpa teke la nyuma. Wao wanafikiria upolisi ni kutandika tu watu, haka kakistaafu kawe kanajikojolea na kupuu kwa pamoja kaishi kwa shida sana.
Mental health is real!Allegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.
Ndo kapiga watu na hicho kifimbo chake. Sijui ni kifimbo cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.
Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi?
Au na yeye anaishi hapa hapa duniani kwenye sehemu iitwayo Tanzania na mahsusi jiji la Dar es Salaam?
Kinachoeleweka huwa hakihitaji maelezo 😉.
View attachment 3353736View attachment 3353737
View: https://youtu.be/1WbQeDj74kc?si=0LV7gm_K_L0cUFj3
Mtafuteni KITAA akiwa UraianiAllegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.
Ndo kapiga watu na hicho kifimbo chake. Sijui ni kifimbo cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.
Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi?
Au na yeye anaishi hapa hapa duniani kwenye sehemu iitwayo Tanzania na mahsusi jiji la Dar es Salaam?
Kinachoeleweka huwa hakihitaji maelezo 😉.
View attachment 3353736View attachment 3353737
View: https://youtu.be/1WbQeDj74kc?si=0LV7gm_K_L0cUFj3
Inasemekana ni uvccm.Allegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.
Ndo kapiga watu na hicho kifimbo chake. Sijui ni kifimbo cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.
Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi?
Au na yeye anaishi hapa hapa duniani kwenye sehemu iitwayo Tanzania na mahsusi jiji la Dar es Salaam?
Kinachoeleweka huwa hakihitaji maelezo 😉.
View attachment 3353736View attachment 3353737
View: https://youtu.be/1WbQeDj74kc?si=0LV7gm_K_L0cUFj3
Sidhani kama anafamilia huyu! Mtu mwenye familia hawezi fanya jambo la kijinga namna hii! Kama ana familia labda inaishi Kambini sio huku uraiani kwetu!Hamza hakuacha funzo au tu waoga kupindukia ndugu Nyani Ngabu .
Hawa wala hawaishi sayari nyingine, watoto, wake zao na wao wenyewe tunapishana nao mitaani kila leo, na wengi wao wanakopa kwenye viduka vyetu.
Anaitwa nani jmn Kwa anaejua?Kwa nini ashitakiwe kwa mungu wakati wananchi wenye nchi tupo?
Ndo wanachokitakaNaona suala la udini linapenya mdogo mdogo.
Muda muda muda ni mwl mzuriNdo wanachokitaka
Umesahau walisema huu ndo muda wao ?
Na unapolifingia kanisa lolote tena Kwa sbb mtu kasema ukweli manaake unagusa Imani ya kikristo , waendelee halafu wataona km hizo pesa ,au viti wanavyovitaka watavikalia
HakikaMuda muda muda ni mwl mzuri
Mchungaji wenu sijui kwann anapenda vita😂😂Hakika
Kesho day 2 ya mfungo na maombi tunakua lol be na Gwajima km Leo....
Yaani Tena wakifunga sipati picha Gwajima ataomba magumu mno 🙌
Bora ht wanuache laa sivyo itakua balaa Kuna watu tutawashushe futi 6 ,maana pale Kwa maombi ya vita ndo mahala pale, ukijichanganya huchomoki
TAllegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.
Ndo kapiga watu na hicho kifimbo chake. Sijui ni kifimbo cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.
Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi?
Au na yeye anaishi hapa hapa duniani kwenye sehemu iitwayo Tanzania na mahsusi jiji la Dar es Salaam?
Kinachoeleweka huwa hakihitaji maelezo 😉.
View attachment 3353736View attachment 3353737
View: https://youtu.be/1WbQeDj74kc?si=0LV7gm_K_L0cUFj3
Wala mi rc og ht sio mchungaji wangu!Mchungaji wenu sijui kwann anapenda vita😂😂
Makuti duuu!!!!! Tusaidiane kumtafuta hata ukoo wake tuanzie hapo.Wakitoka hapo wanarudi kwenye nyumba zao za mabati tupu
Ndugu ngoja nikuambie kitu, watanzania walikuwa waoga toka uwasisi wa taifa hili, kwaiyo haya unayoyaona sasa spirit ya ukorofi kidogo kidogo unaanza kuwaingia kwaiyo itachukua muda kidogo kuwa na akili kama za wakenyaWasivyo na akili, wazo la kwamba hawana uwezo wa kuwazuia watu zaidi ya milioni 60, hawana.
Watanzania tupo kama punda. Ila hata punda huwa inafikia mahali anagoma……