Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kinga huwa wanadai zinawaumiza😂😂😂 they pon die easilyWanawake wengi wako careless Sana kwenye suala Zima la kutumia Kinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinga huwa wanadai zinawaumiza😂😂😂 they pon die easilyWanawake wengi wako careless Sana kwenye suala Zima la kutumia Kinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Zikitimia siku 90 nenda kapime ukitoka salama mdo imeisha hiyo.Mkuu hofu niliyonayo ni kubwa sana sina amani kabisa..pia majibu ya siku 40 yana uzito?
Hahahaha Tena bila hiyanaKwa bongo hii Outing ni sawa na GreenCard ya kula mbususu!
Mkuu wewe zingatia kula vizuri tu, kula matunda, mboga mboga, vyakula vinavyoongeza kinga utakuwa poa tu.Ndugu habari za jumapili.
Nilikuwa na mahusiano na binti niliempenda sana na kuwa na malengo nae mengi sana.
Kitu ambacho sikujua binti ni muathirika na kwamujibu wake anatumia dawa.
Ilikuwa kama bahati tu baada ya kutafakari maisha yangu, nikamgusia suala la kupima, akakaa kmya muda mrefu ila usiku akaniuliza swali linaloonesha ameathirika aliachiwa na mama na anatumia dawa akawa anaulizia je nitamkubali au nitamkataa.
Mara ya mwisho nimekutana nae June 12 , sikuweza kumeza Prep kwani siku zilikuwa zimeenda Sana ..wakuu na nmesubiri zipite siku 40 majibu nipo Safi je niwe na amani wakuu?.
Carlos The Jackal
rikiboy
Sky Eclat View attachment 2309646
Acha kumpoteza mwenzako, maisha hayajaribiwi kiasi hicho, tunaishi maramoja tu, unaanzaje kumshauri mwenzako achezee shilingi kwenye tundu la choo?Mwanamke anaetumia dawa za arv anakuwa na uwezekano mdogo wa kuambukiza
Virus wanakuwa wamefubaa sana kwa hiyo mkuu kuwa na amani na endelea kumchakata lakini hakikisha unamuandaa vzr na kusiwe na michubuko
Hicho kipimo kinapima upungufu wa Kinga mwilini, hakipimi VIRUSI.
So, unaweza kuwa na kinga imara ila una VIRUSI
Mwanamke anaetumia dawa za arv anakuwa na uwezekano mdogo wa kuambukiza
Virus wanakuwa wamefubaa sana kwa hiyo mkuu kuwa na amani na endelea kumchakata lakini hakikisha unamuandaa vzr na kusiwe na michubuko
Hicho ndicho kinawaponzaWanawake wengi wako careless Sana kwenye suala Zima la kutumia Kinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari huyu aisee daahNdugu habari za jumapili.
Nilikuwa na mahusiano na binti niliempenda sana na kuwa na malengo nae mengi sana. Kitu ambacho sikujua binti ni muathirika na kwa mujibu wake anatumia dawa.
Ilikuwa kama bahati tu baada ya kutafakari maisha yangu, nikamgusia suala la kupima, akakaa kmya muda mrefu ila usiku akaniuliza swali linaloonesha ameathirika aliachiwa na mama na anatumia dawa akawa anaulizia je nitamkubali au nitamkataa.
Mara ya mwisho nimekutana nae June 12 , sikuweza kumeza Prep kwani siku zilikuwa zimeenda Sana ..wakuu na nmesubiri zipite siku 40 majibu nipo Safi je niwe na amani wakuu?.
Carlos The Jackal rikiboy
Sky Eclat View attachment 2309646
Kwani siku 90 tayari?Tayari huyu aisee daah
Ziliisha mwezi wa 9 nipo poa sana sahizi mkuu....Mungu mwemaKwani siku 90 tayari?
Usimuamini mtu....play safe sikuzote ....sura nzuri sana, umbo zuri sana sio kwamba yupo salamaKwa hyo mkuu hebu tupe ushauri vijana hapa..
Mkuu nipo salama asante Sana.HIV ni kirusi kigumu sana kuambukizwa hasa mtu akiwa anatumia ARVs kwa ufasaha. Kuwa na amani mdogo wangu
Nakazia hofu yake ndo itamuua, hiyo ugonjwa ungekuwa kama unavyohadithiwa nisingetoboa Kisarawe niliuza mechi zaidi ya mara 4 mpaka kama kushtuliwa na ARV zake niliziona, nikasema sipimi ng'oo japo roho ilikuwa jujuu ila nlikaza mpaka niksahau kama kupima baada ya mwaka npo safi tuMkuu wewe zingatia kula vizuri tu, kula matunda, mboga mboga, vyakula vinavyoongeza kinga utakuwa poa tu.
HIV kama ilivyo Corona tu wengi tunapata bila kujijua na tunapona bila kujijua.
Mimi nimeshalala na wanawake kama wawili hivi kwa nyakati tofauti na wameathirika na nilikuwa najua na sikuwa natumia kinga na hata nikipima kipimo kinasema hakuna.
Late Dr Luc Montaigner alisema nanukuu, "We gent exposed to HIV often without knowing and You can be exposed to HIV virus without being chronically infected, just make sure your nutrition is well balanced"
Kuwa na amani, UKIMWI sio kitu cha kutisha sana
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app