Huyu binti ameniletea balaa

Huyu binti ameniletea balaa

Mkuu hofu niliyonayo ni kubwa sana sina amani kabisa..pia majibu ya siku 40 yana uzito?
Zikitimia siku 90 nenda kapime ukitoka salama mdo imeisha hiyo.

NB:hakikisha huuzi mechi wakati unasubiri siku 90 zitimie
 
Ndugu habari za jumapili.

Nilikuwa na mahusiano na binti niliempenda sana na kuwa na malengo nae mengi sana.

Kitu ambacho sikujua binti ni muathirika na kwamujibu wake anatumia dawa.

Ilikuwa kama bahati tu baada ya kutafakari maisha yangu, nikamgusia suala la kupima, akakaa kmya muda mrefu ila usiku akaniuliza swali linaloonesha ameathirika aliachiwa na mama na anatumia dawa akawa anaulizia je nitamkubali au nitamkataa.

Mara ya mwisho nimekutana nae June 12 , sikuweza kumeza Prep kwani siku zilikuwa zimeenda Sana ..wakuu na nmesubiri zipite siku 40 majibu nipo Safi je niwe na amani wakuu?.

Carlos The Jackal
rikiboy
Sky Eclat View attachment 2309646
Mkuu wewe zingatia kula vizuri tu, kula matunda, mboga mboga, vyakula vinavyoongeza kinga utakuwa poa tu.

HIV kama ilivyo Corona tu wengi tunapata bila kujijua na tunapona bila kujijua.

Mimi nimeshalala na wanawake kama wawili hivi kwa nyakati tofauti na wameathirika na nilikuwa najua na sikuwa natumia kinga na hata nikipima kipimo kinasema hakuna.

Late Dr Luc Montaigner alisema nanukuu, "We gent exposed to HIV often without knowing and You can be exposed to HIV virus without being chronically infected, just make sure your nutrition is well balanced"

Kuwa na amani, UKIMWI sio kitu cha kutisha sana

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke anaetumia dawa za arv anakuwa na uwezekano mdogo wa kuambukiza
Virus wanakuwa wamefubaa sana kwa hiyo mkuu kuwa na amani na endelea kumchakata lakini hakikisha unamuandaa vzr na kusiwe na michubuko
Acha kumpoteza mwenzako, maisha hayajaribiwi kiasi hicho, tunaishi maramoja tu, unaanzaje kumshauri mwenzako achezee shilingi kwenye tundu la choo?
 
Kama anatumia dawa kwa ufasaha kuna asilimia ndogo ya kuambukizwa
 
Pole Kandambili hiyo mbuzi ilikuwa inakuwazia Nini aseeeh
 
Hicho kipimo kinapima upungufu wa Kinga mwilini, hakipimi VIRUSI.
So, unaweza kuwa na kinga imara ila una VIRUSI

Mkuu kwa anachopitia jamaa ilikuwa ni heri usikomenti kabisa. Sio lazima kukomenti kila kitu, huyu anahutaji sana kutiwa moyo kwa kipindi hiki cha mwanzo. Its obvious atarudia kupima so km ni tofauti na hiki kipimo atakuja tuu kujua.
 
Mwanamke anaetumia dawa za arv anakuwa na uwezekano mdogo wa kuambukiza
Virus wanakuwa wamefubaa sana kwa hiyo mkuu kuwa na amani na endelea kumchakata lakini hakikisha unamuandaa vzr na kusiwe na michubuko

Umeanza vizuri umemaliza vibaya. Hajapata na asiendelee hakuna cha kumwandaa a wala nini. AACHE!
 
Ndugu habari za jumapili.

Nilikuwa na mahusiano na binti niliempenda sana na kuwa na malengo nae mengi sana. Kitu ambacho sikujua binti ni muathirika na kwa mujibu wake anatumia dawa.

Ilikuwa kama bahati tu baada ya kutafakari maisha yangu, nikamgusia suala la kupima, akakaa kmya muda mrefu ila usiku akaniuliza swali linaloonesha ameathirika aliachiwa na mama na anatumia dawa akawa anaulizia je nitamkubali au nitamkataa.

Mara ya mwisho nimekutana nae June 12 , sikuweza kumeza Prep kwani siku zilikuwa zimeenda Sana ..wakuu na nmesubiri zipite siku 40 majibu nipo Safi je niwe na amani wakuu?.

Carlos The Jackal rikiboy

Sky Eclat View attachment 2309646
Tayari huyu aisee daah
 
Mkuu wewe zingatia kula vizuri tu, kula matunda, mboga mboga, vyakula vinavyoongeza kinga utakuwa poa tu.

HIV kama ilivyo Corona tu wengi tunapata bila kujijua na tunapona bila kujijua.

Mimi nimeshalala na wanawake kama wawili hivi kwa nyakati tofauti na wameathirika na nilikuwa najua na sikuwa natumia kinga na hata nikipima kipimo kinasema hakuna.

Late Dr Luc Montaigner alisema nanukuu, "We gent exposed to HIV often without knowing and You can be exposed to HIV virus without being chronically infected, just make sure your nutrition is well balanced"

Kuwa na amani, UKIMWI sio kitu cha kutisha sana

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nakazia hofu yake ndo itamuua, hiyo ugonjwa ungekuwa kama unavyohadithiwa nisingetoboa Kisarawe niliuza mechi zaidi ya mara 4 mpaka kama kushtuliwa na ARV zake niliziona, nikasema sipimi ng'oo japo roho ilikuwa jujuu ila nlikaza mpaka niksahau kama kupima baada ya mwaka npo safi tu
 
Back
Top Bottom