Huyu binti ananichanganya

Nenda nae kwa swaga za kilokole, mala j,pili mwambie akualike kanisani kwao. Taratibu ataelewa tu.
 
Hao mbona rahisi sana sema wewe ulikuwa una haraka kupitiliza
 
soma dogo,,, unaitesa roho yako bure.....wazazi wako wana imani na wewe......
 
sawa lakini kuwa na mwenza sio vibaya na kumchunguza
nani atakufaa sio mchezo
Sasa kwa umri wako hutakiwi kulazimisha wala kuchanganywa na hizo issue. Kula shule maisha baada ya shule ukishapata fedha hayo mambo yatakuwa mepesi sana tofauti na sasa yanavyokuwia magumu simply because time is not right. Komaa na shule soma kwa bidii sana baadae utaona mambo yalivyo rahisi
 
Huyo binti ni super.Mungu alimuonyesha nia yako mbaya kwake ndio maana akakata mawasiliano na wewe.Kama unataka kumpata be saved kiukweli.Baada ya kuokoka don't show your motive quickly atakustukia.Uki-pretend God will show her.Mlokole haoi au haolewi na mtu ambae hajaokoka kwa kuwa Shetani anaweza kumtumia mtu huyo kumrudisha nyuma.
 
Akili huna bro
 
Huu uzi wa zamani kidogo mlishaoana na mna familia au ndege alikukimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…