Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 408
Nenda nae kwa swaga za kilokole, mala j,pili mwambie akualike kanisani kwao. Taratibu ataelewa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poooooa sanaNenda nae kwa swaga za kilokole, mala j,pili mwambie akualike kanisani kwao. Taratibu ataelewa tu.
araka gani mkuu nifanyejeHao mbona rahisi sana sema wewe ulikuwa una haraka kupitiliza
nina pesa za kumsomesha huyu binti na mimi mwenyewe bila mkopo wa jpm...so tuliza jipu weweDuuuh ndoto Nazo mhimu kuota bora muendeele kukosa mikopo tu kama mwaka wa kwanza tu unatamani ndoa wakati nyumbani umetuaga unaenda kusoma
nenda kwa wazazi wake ....Kubali kuokoka uwe kama yeye anaweza kukuelewa.
sometimes hivi vitu vinabidi viende parallel ili mbele kusimletee tabu huyo dogoSoma kwanza.
Sasa kwa umri wako hutakiwi kulazimisha wala kuchanganywa na hizo issue. Kula shule maisha baada ya shule ukishapata fedha hayo mambo yatakuwa mepesi sana tofauti na sasa yanavyokuwia magumu simply because time is not right. Komaa na shule soma kwa bidii sana baadae utaona mambo yalivyo rahisisawa lakini kuwa na mwenza sio vibaya na kumchunguza
nani atakufaa sio mchezo
Wewe Nina uhakika utakuwa miongoni mwa wanafunzi ...... Alisema raisinina pesa za kumsomesha huyu binti na mimi mwenyewe bila mkopo wa jpm...so tuliza jipu wewe
Huyo binti ni super.Mungu alimuonyesha nia yako mbaya kwake ndio maana akakata mawasiliano na wewe.Kama unataka kumpata be saved kiukweli.Baada ya kuokoka don't show your motive quickly atakustukia.Uki-pretend God will show her.Mlokole haoi au haolewi na mtu ambae hajaokoka kwa kuwa Shetani anaweza kumtumia mtu huyo kumrudisha nyuma.Kuna dada mmoja wa kilokole, tunasoma nae hapa chuoni, nimetokea kumpenda tena sana. Lakini huyu dada hanielewi kabisa, yeye mambo ya kidunia hajui hata kidogo. Mitandao ya kijamii huwezi kumkuta japo ana simu inayoweza kuaccess hiyo mitandao.
Valentine hajui hata maana yake nini, sio mtoto ni first year wa chuo kikubwa Tz. Ukweli nampenda na yeye alikuwa ashaanza kunizoea lakini sasa mtoto kabadilika hapendi kupokea simu yangu, hata sms zangu hajibu. Ukweli nampenda sio kwa ajili ya kumchezea ila anaonekana ana sifa ambazo napenda mke ambaye ntamuoa awe nazo.
Nifanyeje ili niweze kumpata huyu mlokole kama issue ya dini me ni mkatoliki.
Akili huna broKuna dada mmoja wa kilokole, tunasoma nae hapa chuoni, nimetokea kumpenda tena sana. Lakini huyu dada hanielewi kabisa, yeye mambo ya kidunia hajui hata kidogo. Mitandao ya kijamii huwezi kumkuta japo ana simu inayoweza kuaccess hiyo mitandao.
Valentine hajui hata maana yake nini, sio mtoto ni first year wa chuo kikubwa Tz. Ukweli nampenda na yeye alikuwa ashaanza kunizoea lakini sasa mtoto kabadilika hapendi kupokea simu yangu, hata sms zangu hajibu. Ukweli nampenda sio kwa ajili ya kumchezea ila anaonekana ana sifa ambazo napenda mke ambaye ntamuoa awe nazo.
Nifanyeje ili niweze kumpata huyu mlokole kama issue ya dini me ni mkatoliki.
Ushauri wa shangazi.Kubali kuokoka uwe kama yeye anaweza kukuelewa.