Huyu binti anayedhalilisha pesa ya Tanzania na huyo anayemhonga wachukuliwe hatua

Huyu binti anayedhalilisha pesa ya Tanzania na huyo anayemhonga wachukuliwe hatua

Wamedhalilishaje hapo mkuu. Kwa kuremba au

Mi swali langu liko pale pale, hivi kwann mtu mwenye hela akitumia pesa yake maskini huwa anaoumia na anaona kama tajiri anachezea hela?
Pumbavu zako! Huoni Maneno yaliandikwa hapo kwa kutumia fedha yetu kuwa hayana staha!?

Niliiona Twitter (X) hii clip nikajiuliza maswali mengi sana!
 
Back
Top Bottom