Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Yaani utafute hela kwa shida alafu ushindwe kuzitumia!Best comments
Hajui akifa tu, kuna ndugu wataenda kukesha wakilewa kwa hela zake 🤗
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani utafute hela kwa shida alafu ushindwe kuzitumia!Best comments
Na mvua hz hata wa kumpiga kizinga hayupoUkiwaza kesho hauna nauli ya kukutoa ndani hapo lazma tu uwe na makasiriko
Hujui unachokiongea. Tafuta hela alafu soma tena hii comment yakoSidhani kama tajiri serious anaweza kufanya ujinga namna hii, hakuna watu wanao uthamini hela kama tajiri.
Sijui aliwaza nn kwamba anatamani naye awe anapigwa machine kama madem 😊😊, dah hatari sanaNilimsahau jina. Alicia aibu sana ushoga umemjaa
Kamabinti kanadhalilika hiyo pesa ukiijumlisha hata milipn haifiki
Hivi huoni kilichoandikwa kitandani mkuu.Tafuta pesa kijana
Ni mpyayungu village ameanza ku practise hilo jambo nini?Kuna jamaa humu ndani aliwahi kuleta uzi anatamani angezaliwa mwanamke. Nadhami akiona hii video ndio atamtukana Mungu kabisa kwa kumuumba kidume
Yule ana tatizo la afya ya akili. Kila siku kuwasimanga tu walimu. Hayuko normal.Sijui aliwaza nn kwamba anatamani naye awe anapigwa machine kama madem 😊😊, dah hatari sana