Huyu binti maisha yake hayatakuwa sawa tena

Siku zote ni ngumu kushutumu viongozi wa kiroho, hii ni tangu kale, waliojaribu kuwasema vibaya tu waliipata freshi. Kanisani kama unaona mambo hayaendi vema unajitenga kimyakimya/unahamia kwingine kwenye madhehebu mengine, kwa waislam na wapagani. Unaacha kanisa safi/wokovu safi bila kusema vibaya. Uzuri katiba ya nchi inatoa haki kuamini utakacho ikiwemo kusajili kanisa lako jipya ukaabudu huko. Huo ulikuwa ni uchuro kulikosea adabu kanisa katoliki. Wapi mliona watoto wanawabagaza wazazi wao nje kisa ndani ya nyumba kuna bifu?
 
View attachment 3528745
Katika siku za karibuni tumeshuhudia tukio la kushangaza ambapo kikundi cha watu waliodai kuwa ni Wakatoliki walijitokeza hadharani kupinga matamko ya viongozi wa Kanisa Katoliki, akiwemo Askofu Mkuu Ruwaichi na Padre Kitima, waliotoa kauli nzito kupinga mauaji ya tarehe 29 na hali ya ukandamizaji wa haki nchini Tanzania.

Kilichonishangaza zaidi si kupinga kwao, bali mazingira ya tukio lenyewe:
Namna walivyoandaliwa, lugha waliotumia, na muktadha mzima unaashiria wazi kuwa haikuwa sauti ya waumini wa kawaida, bali jaribio la kisiasa la kuonesha kana kwamba Kanisa linajipinga lenyewe.

Hili ni jambo hatari sana kwa taifa.

Historia ya dunia inaonesha wazi kuwa watu au makundi yanayotumiwa kupambana na viongozi wa kiroho wanaosimamia haki, mara nyingi huishia vibaya – si kwa sababu ya laana ya mtu, bali kwa sababu wanakuwa wamechagua kusimama upande wa uongo dhidi ya ukweli. Wamechagua kutumika kupinga si sauti ya Ruwaichi au Kitima, Bali wanapinga sauti ya Roho Mtakatifu, Sauti ya Mungu.

Kanisa halijasimama kupinga serikali; Kanisa limesimama kupinga mauaji, dhuluma, na kuvunjwa kwa misingi ya haki.
Huo ni wajibu wa kimaadili na wa kiimani.

Tunapofika mahali ambapo:
  • Tunatengeneza waumini wa bandia,
  • Tunatumia watu kupotosha jamii,
  • Tunawashambulia viongozi wa kiroho kwa kusema ukweli,

basi taifa linakuwa limeanza kupoteza dira.

Historia ya binadamu ina mifano mingi ya watu waliodharau sauti za haki wakidhani wanafanya siasa, lakini baadaye waligundua walikuwa wanapambana na dhamiri ya jamii. Waligundua walikuwa wakipambana na sauti ya Mungu.

Suala hapa si Lucy wala kundi lake,
Suala hapa ni: Ni taifa gani tunalojenga kama sauti ya haki inaanza kuonekana kama kosa?

Mwisho wa siku, ukweli huwa hausahauliki.
Na wanaojitokeza kuupinga kwa manufaa ya muda mfupi, hujikuta baadaye wakibeba mzigo wa kihistoria ambao hauwezi kufutika.

Ni wajibu wetu kama Watanzania kujiuliza:
Je, tunataka kuishi katika nchi ambayo hata Kanisa linatakiwa linyamaze mbele ya damu na dhuluma?
Hakujua madhara ya kusiamama na upande fulani and wengi wako against huo upande

Now atajua zama zimebadilika and kuna price to pay
 
Anglia vizuri hii picha zoom. Eti kapigwa ngumi ya jicho lakini jicho lenyewe liko vile vile halijavilia damu.
Huyu kajipaka rangi au tomato souce.
Bado anaendelea na usanii wake hadi wapatekane watakaompiga kweli.

HUYU HAPA
1768162302854.jpg
 
Huyo dada na genge lake naona bado hawajatosheka na uhuni wao. Cha kusikitisha media kama ITV inashadadia upumbavu kama huu.

Kwa nini nasema hajapigwa.

1. Kwa kawaida kama sehemu ya jicho imepigwa ikavujilia adamu automatically hata jicho lake la kushoto lingeathirika. Huu ni mkorogo.

2. Tazama macho yake yote mawili yana hali sawa lile ambalo anadai limeshambuliwa na hata hili la kulia..Tulitegemea jicho la kushoto liwe jekundu ina maana alishindwa kuweka hata pilipili kuudanganya umma?

3. Kwa mara nyingine kudhihirisha uhuni wake maana ameshindwa kutaja hata jumuiya anayotoka Isipokuwa mtaa tu. Tulitegemea kuona viongozi wake wa jumuiya wakisema neno.
Credit: The Burning Spear View attachment 3528773
Ona lilivyojibabua na mkorogo! Pumbavu hili. Linatakiwa lipigwe livutwe hicho ki nanihii mpaka kivuke labia zote!
 
View attachment 3528745
Katika siku za karibuni tumeshuhudia tukio la kushangaza ambapo kikundi cha watu waliodai kuwa ni Wakatoliki walijitokeza hadharani kupinga matamko ya viongozi wa Kanisa Katoliki, akiwemo Askofu Mkuu Ruwaichi na Padre Kitima, waliotoa kauli nzito kupinga mauaji ya tarehe 29 na hali ya ukandamizaji wa haki nchini Tanzania.

Kilichonishangaza zaidi si kupinga kwao, bali mazingira ya tukio lenyewe:
Namna walivyoandaliwa, lugha waliotumia, na muktadha mzima unaashiria wazi kuwa haikuwa sauti ya waumini wa kawaida, bali jaribio la kisiasa la kuonesha kana kwamba Kanisa linajipinga lenyewe.

Hili ni jambo hatari sana kwa taifa.

Historia ya dunia inaonesha wazi kuwa watu au makundi yanayotumiwa kupambana na viongozi wa kiroho wanaosimamia haki, mara nyingi huishia vibaya – si kwa sababu ya laana ya mtu, bali kwa sababu wanakuwa wamechagua kusimama upande wa uongo dhidi ya ukweli. Wamechagua kutumika kupinga si sauti ya Ruwaichi au Kitima, Bali wanapinga sauti ya Roho Mtakatifu, Sauti ya Mungu.

Kanisa halijasimama kupinga serikali; Kanisa limesimama kupinga mauaji, dhuluma, na kuvunjwa kwa misingi ya haki.
Huo ni wajibu wa kimaadili na wa kiimani.

Tunapofika mahali ambapo:
  • Tunatengeneza waumini wa bandia,
  • Tunatumia watu kupotosha jamii,
  • Tunawashambulia viongozi wa kiroho kwa kusema ukweli,

basi taifa linakuwa limeanza kupoteza dira.

Historia ya binadamu ina mifano mingi ya watu waliodharau sauti za haki wakidhani wanafanya siasa, lakini baadaye waligundua walikuwa wanapambana na dhamiri ya jamii. Waligundua walikuwa wakipambana na sauti ya Mungu.

Suala hapa si Lucy wala kundi lake,
Suala hapa ni: Ni taifa gani tunalojenga kama sauti ya haki inaanza kuonekana kama kosa?

Mwisho wa siku, ukweli huwa hausahauliki.
Na wanaojitokeza kuupinga kwa manufaa ya muda mfupi, hujikuta baadaye wakibeba mzigo wa kihistoria ambao hauwezi kufutika.

Ni wajibu wetu kama Watanzania kujiuliza:
Je, tunataka kuishi katika nchi ambayo hata Kanisa linatakiwa linyamaze mbele ya damu na dhuluma?
MKUU CHEZA NA YOTE USI CHEZEE NA MUNGU KAMWE YAAN HATA KIJIWEN UKIONA MTU ANAKASHIFU DIN YA MWINGINE OMBA MAVI YAJE NENDA CHOON WAKIMALIZA RUDI

HATA WATUMISHI WA MUNGU UKIWASIKIA WANAZOZANA KAA MBALI KANGALIE AFCON

ZILE N LAANA MKUU. YAAN SALA ZAO WEWE HUTOBOI
 
Huyo dada na genge lake naona bado hawajatosheka na uhuni wao. Cha kusikitisha media kama ITV inashadadia upumbavu kama huu.

Kwa nini nasema hajapigwa.

1. Kwa kawaida kama sehemu ya jicho imepigwa ikavujilia adamu automatically hata jicho lake la kushoto lingeathirika. Huu ni mkorogo.

2. Tazama macho yake yote mawili yana hali sawa lile ambalo anadai limeshambuliwa na hata hili la kulia..Tulitegemea jicho la kushoto liwe jekundu ina maana alishindwa kuweka hata pilipili kuudanganya umma?

3. Kwa mara nyingine kudhihirisha uhuni wake maana ameshindwa kutaja hata jumuiya anayotoka Isipokuwa mtaa tu. Tulitegemea kuona viongozi wake wa jumuiya wakisema neno.
Credit: The Burning Spear View attachment 3528773
HAWA N WAGANGQ NJAA AKA MALOFA AKA WAPUMBAVU
TUSIICHUKUE MDA SANA KUWAJADILI MALOFA TUZIDI KUWAOMBEAA WANA ROMA .AHSANTEB
 
Inasikitisha sana kwa kweli ila kweli atavuna alichopanda kwa uongo waliotengeneza huku walijua kuwa wao sio waumini kazi wanayo kila kukicha watatamani waje na hoja mpya na kuendelea kudharirika tu.
Hiyo picha siyo yeye na maaskofu wa katoliki?
 
View attachment 3528745
Katika siku za karibuni tumeshuhudia tukio la kushangaza ambapo kikundi cha watu waliodai kuwa ni Wakatoliki walijitokeza hadharani kupinga matamko ya viongozi wa Kanisa Katoliki, akiwemo Askofu Mkuu Ruwaichi na Padre Kitima, waliotoa kauli nzito kupinga mauaji ya tarehe 29 na hali ya ukandamizaji wa haki nchini Tanzania.

Kilichonishangaza zaidi si kupinga kwao, bali mazingira ya tukio lenyewe:
Namna walivyoandaliwa, lugha waliotumia, na muktadha mzima unaashiria wazi kuwa haikuwa sauti ya waumini wa kawaida, bali jaribio la kisiasa la kuonesha kana kwamba Kanisa linajipinga lenyewe.

Hili ni jambo hatari sana kwa taifa.

Historia ya dunia inaonesha wazi kuwa watu au makundi yanayotumiwa kupambana na viongozi wa kiroho wanaosimamia haki, mara nyingi huishia vibaya – si kwa sababu ya laana ya mtu, bali kwa sababu wanakuwa wamechagua kusimama upande wa uongo dhidi ya ukweli. Wamechagua kutumika kupinga si sauti ya Ruwaichi au Kitima, Bali wanapinga sauti ya Roho Mtakatifu, Sauti ya Mungu.

Kanisa halijasimama kupinga serikali; Kanisa limesimama kupinga mauaji, dhuluma, na kuvunjwa kwa misingi ya haki.
Huo ni wajibu wa kimaadili na wa kiimani.

Tunapofika mahali ambapo:
  • Tunatengeneza waumini wa bandia,
  • Tunatumia watu kupotosha jamii,
  • Tunawashambulia viongozi wa kiroho kwa kusema ukweli,

basi taifa linakuwa limeanza kupoteza dira.

Historia ya binadamu ina mifano mingi ya watu waliodharau sauti za haki wakidhani wanafanya siasa, lakini baadaye waligundua walikuwa wanapambana na dhamiri ya jamii. Waligundua walikuwa wakipambana na sauti ya Mungu.

Suala hapa si Lucy wala kundi lake,
Suala hapa ni: Ni taifa gani tunalojenga kama sauti ya haki inaanza kuonekana kama kosa?

Mwisho wa siku, ukweli huwa hausahauliki.
Na wanaojitokeza kuupinga kwa manufaa ya muda mfupi, hujikuta baadaye wakibeba mzigo wa kihistoria ambao hauwezi kufutika.

Ni wajibu wetu kama Watanzania kujiuliza:
Je, tunataka kuishi katika nchi ambayo hata Kanisa linatakiwa linyamaze mbele ya damu na dhuluma?
Kwani, yalikuwa sawa.? Yangekuwa sawa asingejirahisisha na kutumiwa kichawachawa. Utakuta ni nungaembe la kawaida la kihaya.
 
Angekua mkatoliki angeliomba kanisa limlinde. Akaishi na masista pamoja na familia yake kwa muda. Mpaka usalama urudi.
 
Yani kanisa linasema ukweli kabisa halafu mnalishambulia na kulitungia uongo mjue kwamba madaraka yenu Yana life span fupi five years Leo hii unapambana na dude lina miaka 2000 wakati kikundi chenu kimezaliwa juzi tu hapo 5/2/1977 ndio upambane na kanisa katoliki kweli ha ha ha ha tutaona mwisho wa hii saga nani atawahi kutoweka kwenye uso wa dunia ccm au RC. Yetu macho.
Mjomba, hapa duniani ukiambiwa uchague kati ya mali na akili; utachagua nini?
Binafsi ni bora ninyimwe mali, nipewe akili. Ila siyo kunyimwa akili na kupewa mali kama ilivyo kwa watawala wengi wa sasa.
 
Back
Top Bottom