Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 8,198
- 9,911
Usizichezee dini zinazomuabudu Mungu, naamini kwamba kufanya hivyo kunamfanya mtu akose baraka katika maisha yake ya hapa duniani.MKUU CHEZA NA YOTE USI CHEZEE NA MUNGU KAMWE YAAN HATA KIJIWEN UKIONA MTU ANAKASHIFU DIN YA MWINGINE OMBA MAVI YAJE NENDA CHOON WAKIMALIZA RUDI
HATA WATUMISHI WA MUNGU UKIWASIKIA WANAZOZANA KAA MBALI KANGALIE AFCON
ZILE N LAANA MKUU. YAAN SALA ZAO WEWE HUTOBOI