Huyu binti simuelewi. Naombeni ushauri

Huyu binti simuelewi. Naombeni ushauri

Shikamooni wakubwa,

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 22 nipo chuo mwaka wa pili. Kwenye darasa ninalosoma yupo msichana ambaye mmoja nampenda sana na ni rafiki yangu sana ila shida inapokuja kila napojaribu kumfungukia kuwa nampenda amekuwa mtu ambaye hanipi jibu straight kuwa amekubali au hataki kuwa na mimi.

Kuna muda nikisemaga nimkaushie nisimtafute hata kidogo huwa namuonaga kabisa anakosa amani kabisa anaonekana, ila nikimrudia tu kumuongelesha furaha yake inarudi halafu tena nkimtokea anaanza kupiga chenga hanipi jibu lile la moja kwa moja.

Nimejaribu njia labda ya kumhandle ili asione kama namrush kuwa na mimi ila bado njia zote zinagonga mwamba, kwani hasa ila msichana akupende inatakiwa mtu ufanyeje maana nampenda sana?
Aisee umenikumbusha na mie enzi zangu nipo chuo yaani full udomo zege🤣🤣🤣🤣
Wee achana nae tafuta pisi nyingine hapo chuo kamata huyo anakuchelewesha tuu mwanawane. She likes the attention but she dnt like u
 
Wanawake wa siku hizi hawana upendo

Usihangaike kutafuta vipepeo

Tengeneza bustani yako vipepeo watakuja wenyewe

Elewa neno vipepeo na bustani

A woman should not feel that you are lucky to have her rather, let her know that she is lucky to have you
Indeed a woman shuld feel lucky to have u. Hawa viumbe wangese sana usipokuwa mtata...they think they doing u a favour kukupa mbususu.
 
Shikamooni wakubwa,

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 22 nipo chuo mwaka wa pili. Kwenye darasa ninalosoma yupo msichana ambaye mmoja nampenda sana na ni rafiki yangu sana ila shida inapokuja kila napojaribu kumfungukia kuwa nampenda amekuwa mtu ambaye hanipi jibu straight kuwa amekubali au hataki kuwa na mimi.

Kuna muda nikisemaga nimkaushie nisimtafute hata kidogo huwa namuonaga kabisa anakosa amani kabisa anaonekana, ila nikimrudia tu kumuongelesha furaha yake inarudi halafu tena nkimtokea anaanza kupiga chenga hanipi jibu lile la moja kwa moja.

Nimejaribu njia labda ya kumhandle ili asione kama namrush kuwa na mimi ila bado njia zote zinagonga mwamba, kwani hasa ila msichana akupende inatakiwa mtu ufanyeje maana nampenda sana?
Pumbav zingatia masomo! Nilikupeleka huko kufanya ngono? Hamsikii kama waajiri wanalalamika kwamba vijana mnaotoka vyuoni hamna mnachojua, yaani kichwani mko weupe kumbe mnazingatia ngono tu? Narudia tena zingatia masomo!
 
Jamaa kashawekwa friend zone bado hajitambui yupo wapi.
Nimewahi kulifikiria hilo kwamba labda ameniweka friendzone ila nachoshangaa ni namna anavyonitreat ni tofauti sana marafiki zake wa kiume,wengi anawapaga stori hadi za wanaume walio wahi kumtongoza ila kwangu mimi hajawahi kunipa izo stori ata siku moja ni ananiheshim kwa kiasi flani ila tu nashangaa kwann hataki kuweka wazi kama naye ananipenda au lah
 
Unamhandle mwanamke ambaye hajakupa mbususu, huo ni ufara mdogo wangu

You are a king

Kumbuka kuna wana wakimpigia simu moja tu anaenda kuwavulia chupi

Ya nini umhandle malaya?
Mmh
Mkuu Mwanamke Ukishamtongoza Hutakiwi Kusubiri Jibu Utawakosa Wengi.

Kama Ulivyofunguka Imetosha Hapo Endelea Na Mambo Mengine Kama Angekuwa Hajabali Angekwambia, Huyo Tayari Kaeleweka.

Ila Mkuu Shule Unazingatia Maana Wahenga Wanasema Elimu Ni Bahari Umeza Wasioozingatia.
Kwani mwanamke anaweza akamkubalia mtu bila kupewa jibu la Ndiyo?
 
Back
Top Bottom