- Thread starter
- #41
Sijaelewa hapo,kwamba niachane naye?Ndiyo.
Hapo itakulazimu utengeneze mazingira ya kumalizana naye kimasiala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa hapo,kwamba niachane naye?Ndiyo.
Hapo itakulazimu utengeneze mazingira ya kumalizana naye kimasiala.
Kwa hiyo unataka kusema ukimpa 300,000/- ataikataa?Kwao wana maisha mazuri kidogo,nkisema nimpe hela ni uongo maana mimi ndo huwa nakula hela zake sana na ata akihitaji hela nkimpa bas lazima atanilipa baadaye
Dogo embu soma kwanza mademu wapoShikamooni wakubwa,
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 22 nipo chuo mwaka wa pili. Kwenye darasa ninalosoma yupo msichana ambaye mmoja nampenda sana na ni rafiki yangu sana ila shida inapokuja kila napojaribu kumfungukia kuwa nampenda amekuwa mtu ambaye hanipi jibu straight kuwa amekubali au hataki kuwa na mimi.
Kuna muda nikisemaga nimkaushie nisimtafute hata kidogo huwa namuonaga kabisa anakosa amani kabisa anaonekana, ila nikimrudia tu kumuongelesha furaha yake inarudi halafu tena nkimtokea anaanza kupiga chenga hanipi jibu lile la moja kwa moja.
Nimejaribu njia labda ya kumhandle ili asione kama namrush kuwa na mimi ila bado njia zote zinagonga mwamba, kwani hasa ila msichana akupende inatakiwa mtu ufanyeje maana nampenda sana?
Wanawake mmekutana hapo ni shida. Mpaka atokee mwanaume aje awachape nao hasa... Ndo mtakaa sawaShikamooni wakubwa,
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 22 nipo chuo mwaka wa pili. Kwenye darasa ninalosoma yupo msichana ambaye mmoja nampenda sana na ni rafiki yangu sana ila shida inapokuja kila napojaribu kumfungukia kuwa nampenda amekuwa mtu ambaye hanipi jibu straight kuwa amekubali au hataki kuwa na mimi.
Kuna muda nikisemaga nimkaushie nisimtafute hata kidogo huwa namuonaga kabisa anakosa amani kabisa anaonekana, ila nikimrudia tu kumuongelesha furaha yake inarudi halafu tena nkimtokea anaanza kupiga chenga hanipi jibu lile la moja kwa moja.
Nimejaribu njia labda ya kumhandle ili asione kama namrush kuwa na mimi ila bado njia zote zinagonga mwamba, kwani hasa ila msichana akupende inatakiwa mtu ufanyeje maana nampenda sana?
Utafeliiii shauri yako....mapenzi kitovu cha uzembeKufeli siwezi broo,huyu ndo msichana wangu wa kwanza kumfikiria tangu nianze masomo yangu ni hivi tu nashndwa kumtoa kwenye akili
nimeipitia hiyo thread nimeona ina stori nying,kwaiyo unanshauri nimualike aje ghetto?Tafuta thread ya kula kimasiala utanielewa.
Mkuu huyo ni wako tayari, wewe panga siku umtoe out mkapige story zenu nje ya chuo kabisa. Mrudi usiku na usiku huo mtembee kwa kushikana mikono baaaasiShikamooni wakubwa,
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 22 nipo chuo mwaka wa pili. Kwenye darasa ninalosoma yupo msichana ambaye mmoja nampenda sana na ni rafiki yangu sana ila shida inapokuja kila napojaribu kumfungukia kuwa nampenda amekuwa mtu ambaye hanipi jibu straight kuwa amekubali au hataki kuwa na mimi.
Kuna muda nikisemaga nimkaushie nisimtafute hata kidogo huwa namuonaga kabisa anakosa amani kabisa anaonekana, ila nikimrudia tu kumuongelesha furaha yake inarudi halafu tena nkimtokea anaanza kupiga chenga hanipi jibu lile la moja kwa moja.
Nimejaribu njia labda ya kumhandle ili asione kama namrush kuwa na mimi ila bado njia zote zinagonga mwamba, kwani hasa ila msichana akupende inatakiwa mtu ufanyeje maana nampenda sana?
Hapana bro mi wala siwazi mapenzi sanaa namhitaji tu kwamba ata mola akijaalia aje awe mke wangu...sitamani nije nifeli kisa mapenzi,ila kwa huyu nna malengo naye kwenye akili ila shida ni kumpata tu ndo imekuwa kaziUtafeliiii shauri yako....mapenzi kitovu cha uzembe
Nashukuru bro kwa ushauri wako,ntalijaribu hili nione kama litamshawishiMkuu huyo ni wako tayari, wewe panga siku umtoe out mkapige story zenu nje ya chuo kabisa. Mrudi usiku na usiku huo mtembee kwa kushikana mikono baaaasi
🤣🤣🤣🤣Kufeli siwezi broo,huyu ndo msichana wangu wa kwanza kumfikiria tangu nianze masomo yangu ni hivi tu nashndwa kumtoa kwenye akili