Watu mnaomshauri eti asome aachane na mapenzi yatamchanganya, hivi mko serious au bado mmekariri story za walimu wenu kuwa mapenzi na masomo haviendi. Mara walikuwa wanawaambia mwanafunzi huruhusiwi kufanya mapenzi. Nyie nyie nyie serious kweli mtu mzima 22 years old akae bila mpenzi kisa walimu waliwakaririsha hivyo. Au mnataka apige PUNYETO, halafu akija kuomba humu ushauri wa kupungukiwa nguvu za kiume muanze kumkejeli na kumzodoa.
Tuseme ukweli, hivi members wa humu mlianza mapenzi mkiwa na miaka mingapi na mlikuwa mnafanya nini kiasi cha kumsisitiza mwenzenu asome aachane na mapenzi. Hivi mnajua sasa hivi mapenzi a.k.a ngono ni basic need kwa mwanadamu yeyote aliepevuka!!
Mi nasema fanya unachoona ni sahihi kwako. For the age of 22 you are an adult to choose and decide on your own way of life.