Huyu binti simuelewi. Naombeni ushauri

Aisee umenikumbusha na mie enzi zangu nipo chuo yaani full udomo zege🤣🤣🤣🤣
Wee achana nae tafuta pisi nyingine hapo chuo kamata huyo anakuchelewesha tuu mwanawane. She likes the attention but she dnt like u
 
Indeed a woman shuld feel lucky to have u. Hawa viumbe wangese sana usipokuwa mtata...they think they doing u a favour kukupa mbususu.
 
Pumbav zingatia masomo! Nilikupeleka huko kufanya ngono? Hamsikii kama waajiri wanalalamika kwamba vijana mnaotoka vyuoni hamna mnachojua, yaani kichwani mko weupe kumbe mnazingatia ngono tu? Narudia tena zingatia masomo!
 
Jamaa kashawekwa friend zone bado hajitambui yupo wapi.
Nimewahi kulifikiria hilo kwamba labda ameniweka friendzone ila nachoshangaa ni namna anavyonitreat ni tofauti sana marafiki zake wa kiume,wengi anawapaga stori hadi za wanaume walio wahi kumtongoza ila kwangu mimi hajawahi kunipa izo stori ata siku moja ni ananiheshim kwa kiasi flani ila tu nashangaa kwann hataki kuweka wazi kama naye ananipenda au lah
 
Unamhandle mwanamke ambaye hajakupa mbususu, huo ni ufara mdogo wangu

You are a king

Kumbuka kuna wana wakimpigia simu moja tu anaenda kuwavulia chupi

Ya nini umhandle malaya?
Mmh
Kwani mwanamke anaweza akamkubalia mtu bila kupewa jibu la Ndiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…