Huyu Black American analinganisha Accra na Nairobi. Anasema Nairobi ni kubwa sana

Huyu Black American analinganisha Accra na Nairobi. Anasema Nairobi ni kubwa sana

Hiyo hua ni saikolojia ndogo ya kumshika akili mwenyeji, lazima apaponde accra ili mambo yake hapo yaende vizuri hata akija Dar ataiponda Nairobi kwa kusema Dar watu wkarimu wanasalimia muda wote, tofauti na nairobi watu sio wakarimu
 
Nairobi inamzidi accra kivp sasa? For what exactly
 
Nairobi inamzidi accra kivp sasa? For what exactly
Tazama video yenyewe utapata majibu. Anasema barabara za Nairobi zipo sawa kushinda za Accra. Pia anasema Nairobi ina malls nyingi na apartments nyingi kushinda Accra.
 
Tazama video yenyewe utapata majibu. Anasema barabara za Nairobi zipo sawa kushinda za Accra. Pia anasema Nairobi ina malls nyingi na apartments nyingi kushinda Accra.
So sad huyo ni chawa tu
 
Huyu mama kutoka USA ameishi Accra Ghana na wakati huu yupo Nairobi. Anasema Nairobi ni kubwa na kumejengwa sana ikilinganishwa na Accra. Sasa sijui Malazy huwa wanaikejeli Nairobi kwa nini na wageni kutoka nje wanaisifu.

Kama umemsikia vizur...kwa yeye anaona Accra kunamfaa zaidi kwakua ni karibu na USA, hata tamaduni zao na mambomambo mengine wanaendana nayo...nbo ni kubwa kwa Accra hata pop wise kuna tofauti.

Kenya chakula mnakwama wap?hakuna mtu atasifia vyakula vyenu hata siku moja?mji kua mkubwa na developed ni sifa nzur ila umesikia akisema nbo imeshikwa na wageni ambao ndio wamewekeza zaidi.
 
Kuambiwa wana malls nyingi na barabara nyingi tayari kwao ni maendeleo, Ghana wananchi wanaishi maisha mazuri kuliko Kenya na Nigeria, anzia Accra hadi Kumasi utajionea maajabu makubwa ya waghana.
Sasa unapingana na huyu aliyeishi kote Accra na Nairobi? Afadhali nimuamini huyu aliyeishi katika miji yote miwili kushinda kumsikiliza mtu kama wewe ambaye hawahi kutoka nje ya Tandale.
 
Sasa malls nyingi ndio maendeleo? Wakati tunahitaji takwimu za maana, hali ya maisha kenya ni mbaya kuliko ghana
Hatulinganishi Kenya na Ghana tunalinganisha Nairobi na Accra. Mama huyu amesema Accra iko nyuma sana kimaendeleo.
 
Kama umemsikia vizur...kwa yeye anaona Accra kunamfaa zaidi kwakua ni karibu na USA, hata tamaduni zao na mambomambo mengine wanaendana nayo...nbo ni kubwa kwa Accra hata pop wise kuna tofauti!!
Kenya chakula mnakwama wap?hakuna mtu atasifia vyakula vyenu hata siku moja?mji kua mkubwa na developed ni sifa nzur ila umesikia akisema nbo imeshikwa na wageni ambao ndio wamewekeza zaidi. ..
tuusan huyo mama amesema Nairobi ina barabara nzuri kushinda Accra, malls nyingi kila mahali, apartments za kufa mtu kila mahali. Anasema Accra ni ndogo sana. Sasa mbona nyie Wabongo huwa mnaidharau Nairobi? Halafu mji wowote international kama Nairobi lazima iwe na wawekezaji wengi kutoka nje maana ni international city. Huku utaona Wachina, wahindi, wazungu na hata Waafrika kutoka nchi nyingine. Kwangu hio ni sifa nzuri kwamba tuna-attract foreign investors. Huyu mama haelewi umuhimu wa ku-attract foreign investment.
 
Wabongo tunadharau nbo iliojaa slums na utani wa jadi ila hayo mengine sie hatuna neno kabisa
 
Siyo vizuri kuwaita wengine black America. Ni jina linaloleta ukakasi, hata wenyewe hawapendi.
 
Sasa unapingana na huyu aliyeishi kote Accra na Nairobi? Afadhali nimuamini huyu aliyeishi katika miji yote miwili kushinda kumsikiliza mtu kama wewe ambaye hawahi kutoka nje ya Tandale.

Kenya naijua vizuri kuliko unavofikiria, kenya ipi siijui labda kwa mfano? Kamongo, gesi, sabuni za magadi , mahindi, kitunguu saumu nilileta sana enzi naanza maisha ya kutafuta hadi kwa wajijenda huko coast nimefika na nina mbegu zangu mbili moja iko mlima meru na nyingine iko kisii
 
Siyo vizuri kuwaita wengine black America. Ni jina linaloleta ukakasi, hata wenyewe hawapendi.
Wengine wanapenda jina hilo. Nimewahi kuzungumza na mmoja wao kwa undani zamani kidogo na alisema kwamba anapenda kuitwa hivyo. Hapendi jina African American kwa sababu yeye sio Mwafrika. Wengine wanataka kuitwa African American wengine hawataki. Tazama hii video ya dakika mbili utanielewa.
 
Kenya naijua vizuri kuliko unavofikiria, kenya ipi siijui labda kwa mfano? Kamongo, gesi, sabuni za magadi , mahindi, kitunguu saumu nilileta sana enzi naanza maisha ya kutafuta hadi kwa wajijenda huko coast nimefika na nina mbegu zangu mbili moja iko mlima meru na nyingine iko kisii
Sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom