Huyu Black American analinganisha Accra na Nairobi. Anasema Nairobi ni kubwa sana

Huyu Black American analinganisha Accra na Nairobi. Anasema Nairobi ni kubwa sana

Africans Americans are the dumbest people on the planet earth no one gives a damn about what they think
Huyu mama kutoka USA ameishi Accra Ghana na wakati huu yupo Nairobi. Anasema Nairobi ni ubwa na kumejengwa sana ikilinganishwa na Accra. Sasa sijui Malazy huwa wanaikejeli Nairobi kwa nini na wageni kutoka nje wanaisifu.

Africans Americans are the dumbest people on the planet earth no one gives a damn about what they think

Black American hawawapendi African American kwani African American wanachukuliwa kama washamba na masnitch kwa black american kwani michongo ya bei mbaya kama kazi iliyokua inapigwa na Black American wanaipiga Afican American kwa bei ndogo sana ndio maana wanatengwa na kuchukiwa na black american kwani wanaona hawa jamaa waharibifu wa michongo
 
Kingine black america wanaona african american walichangia wao kua watumwa kwani walishiriki kuwauza mababu zao hivo kisasi kinaanzia hapo pia
 
Mwambie huyo sister aje oyster bay au masaki au msasani au upanga Ndio atajua kuwa hata africa kuna sehemu kama California .
 
Kenya naijua vizuri kuliko unavofikiria, kenya ipi siijui labda kwa mfano? Kamongo, gesi, sabuni za magadi , mahindi, kitunguu saumu nilileta sana enzi naanza maisha ya kutafuta hadi kwa wajijenda huko coast nimefika na nina mbegu zangu mbili moja iko mlima meru na nyingine iko kisii
Nipe A,B,C boss nataka nifanye mishe za kwenda Kenya, maana niko Moshi kabisa.
 
Hiyo hua ni saikolojia ndogo ya kumshika akili mwenyeji, lazima apaponde accra ili mambo yake hapo yaende vizuri hata akija Dar ataiponda Nairobi kwa kusema Dar watu wkarimu wanasalimia muda wote, tofauti na nairobi watu sio wakarimu
Ila wababu huwa mnakuja na visababu vya ajabu kila mtu anapoisifia Kenya. Mwafurahisha kweli. 🤣 🤣 🤣
 
Wengine wanapenda jina hilo. Nimewahi kuzungumza na mmoja wao kwa undani zamani kidogo na alisema kwamba anapenda kuitwa hivyo. Hapendi jina African American kwa sababu yeye sio Mwafrika. Wengine wanataka kuitwa African American wengine hawataki. Tazama hii video ya dakika mbili utanielewa.

Ulikutana na wenye uelewa mdogo. Neno black kwa asilimia kubwa linamaanisha uovu. Mfano black market, black mailing nk. Wengi hawapendi hilo jina kwa ajili hiyo.
 
Huyu mama kutoka USA ameishi Accra Ghana na wakati huu yupo Nairobi. Anasema Nairobi ni kubwa na kumejengwa sana ikilinganishwa na Accra. Sasa sijui Malazy huwa wanaikejeli Nairobi kwa nini na wageni kutoka nje wanaisifu.

Mimi aliniboo. Alikua anaongea na uwivu mingi sana na matharau kwa wakenya. Ama ni vile bwana yake sio mkenya na alikua anatamani kuishi kenya
 
Africans Americans are the dumbest people on the planet earth no one gives a damn about what they think
Hapa Nakubaliana na Wewe. Hawa Black Americans wako na akili ndogo sana. Very dumb people almost retarded but not all of them. They have a small percentage kama kina JT bigger figa who are very smart na wako vizuri kibiashara. Lakina hawa wengine ni akili maji sana
 
Africans Americans are the dumbest people on the planet earth no one gives a damn about what they think
and I bet you think that you and your people must be the epitome of enlightenment🙄🙄🙄

they might be a lil lost on their identity but if they're dumb then what should we call you and Africans that think like you?

sad.
 
Huyu mama kutoka USA ameishi Accra Ghana na wakati huu yupo Nairobi. Anasema Nairobi ni kubwa na kumejengwa sana ikilinganishwa na Accra. Sasa sijui Malazy huwa wanaikejeli Nairobi kwa nini na wageni kutoka nje wanaisifu.

Sasa accra na kampala uganda tofauti ni usafi tu
 
Africans Americans are the dumbest people on the planet earth no one gives a damn about what they think
Stereotype is very bad, is there any society on this earth that is made of only fools and dumb people? How do you classify your society where you came from?

Sent from my N100 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom