CCM wakishaamua jambo lao hakuna wa kupindua Tanzania.
1. Kwanza kura zitaibwa hatopata ata asilimia 40 ya kura.
2. Atapewa kesi za kigaidi kama lissu au Uasi au silaa. Cuf walishaletewa kontena lenye visu vyenye nembo yao na wakaambiwa ni magaidi.
3. Watalazimisha maridhiano au serikali ya kitaifa.
Kisha kinachofata Raisi anayepachikwa na wasiojulikana atatakiwa kulipa fadhila kwao na kusikiliza kila dili zao bila kupinga ata. Hao ndio Wasiojulikana wanavyofanya kazi.