Huyu Brother "K" wa futuhi mashati yake anapataga wapi?

Ukipata majibu nisaidie pia kuniulizia hivi Mkwere wa Mizengwe Show zile Ndala zake ndefu kama Ulimi wa Mamba na vile Viatu vyake vilivyochongoka kwa Urefu kwa mbele kama Samaki Chuchunge huwa anatengenezewa wapi?
Au joti akiigiza ka Da Kiboga vile viatu vyake virefu anatolea wapi..??
 
Kwenye mtandao yapo mengi, ua ana ya download..
 
Ni muha wa kigoma....

Ntondoo
 
Watu wa mikoani mnaangalia vipindi vya ajabu
Punguzeni ushamba!

Hicho kipindi kwa MTU Wa dar unaweza kuangalia mwanzo mwisho na usicheke lkn kwa Wa mikoani naona huyo ndio kama Davies Chappele au Trevor Noah wao. Kweli ushamba mzigo! Wameshazoea kuona vichekesho vya ng'ombe na kondoo wakigombana sasa wakiona mtu kwenye TV kavaa nguo na kupiga kelele wao kwao ni zaidi ya comedy. Sijui tuwasaidieje washamba hawa
 
Bado mtu anamawazo ya kwamba kuishi dar ndo ujanja? Utakuwa wakuja wewe
 
Hapo kwenye kusukuma Mwanamke hapo!
 
Watu wa mikoani mnaangalia vipindi vya ajabu
Punguzeni ushamba!

Cha kushangaza mtu wa dar wewe sio wote wenye fikra za kuona dar ni peponi mnongozwa na watu wa mikoani Magufuli na makonda wakiwaambia mlale saa sita mchana hamna wa kupindua

Hiyo ndo shida ya kuzaliwa mkoan ukifanikiwa kuingia dar na wewe unajiona mzalamo wakat ni mhehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…