kashesho
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 4,975
- 2,487
hahahahaha leo watu wa dar wameipataHahaha wasukuma wana umoja. Si umeona hata naniliu amewasamehe mabanda yao yasibomolewe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaha leo watu wa dar wameipataHahaha wasukuma wana umoja. Si umeona hata naniliu amewasamehe mabanda yao yasibomolewe...
Inaonekana kazi yako ni umbea na hiyo ndyo asili ya mashabiki wa unitedWakuu huyu jamaa kila igizo lao la futuhi nikiangaliaga namuona kavaa mshati mkubwa unaoweza kufunika hata VITZ 3.
Mi mashati yake nikiyaonaga yanachekesha sana mara vifungo vimepishama mikono imefichwa kwa utefu wa mshati ni hayo tu
Je huwa wanajishonea?
Kasie kwa tabasamu..Aisee nami msukumaji hivyo hivyoHahahahahhaaa huwa naiangaliaga kwa bahati mbaya yaani si mpenzi wa hiyo komedi ila ikinikuta naitizama huyo braza K ananiachaga hoi hehehehehee enewei usiwaze sana ni msukuma huyo yaani hapo anasukuma sukuma tuu ili mambo yaende. ..... kila kitu yeye anasukuma tuu.... mkokoteni anasukuma, toroli anasukuma, ng'ombe anasukuma. ... mwanamke anasukuma iiiggghh ndo hivyo hivyo hata hayo masharti anasukuma tuu muonee huruma tuu shemeji yangu huyo.
Ila kwa majidai na majivuno sasaa looh sijui wanaiga wahaya. .......
Igoloo.
Bora sisi wa mtandaoni hatujashambuliwa..nimesoma comment nyingi watu wa dar wameshambuliwa vya kutosha
20 enzi hamna offside kama anauwezo achukue msimu huuMdogo vumilia tu manchester city ndo kwanza anatukombe tu 3 had kufikisha 20 sio leo punguza msongo wa mawazo utaanza kuwa kichaa
hahahahaha eti watu wa dar wanapenda kuangalia kipindi cha dhmbi za fashioooooon na wanawake live......nimesoma comment nyingi watu wa dar wameshambuliwa vya kutosha
Chukueni ubingwa sasaNdo mana nakwambia bado mdogo ligi imeisha kwa akili yako unaona point 12 nyingi? Ligi ni mbio ndefu karibu ktk ulimwengu wa soka
Ubingwa wa uingereza unatolewa mwez huu? Halafu najizalilisha kujadiliana na mtua asejua mpira kichwan kabeba visingizioChukueni ubingwa sasa
United imejaza mashabiki vilaza kama weweUbingwa wa uingereza unatolewa mwez huu? Halafu najizalilisha kujadiliana na mtua asejua mpira kichwan kabeba visingizio
Hiyo manchester city kabla ya 2011 walikuwa na uwezo wa kupambana na chelsea,arsenal,liverpool na manchester united?
Timu ya 2010 na ww unalilia kabebe uefa uone kama kazi nyepes
Sikai kuwa united sio club kubwa ni kubwa lakni sahivi ubora wa city united anaonekana Swansea ndyo maana alitandikwa OTNimemaliza mdogo wangu sasa wewe na pep nani anajua
Pep Guardiola Claims Man City Must Win More Trophies to 'Become as Big as Man Utd or Liverpool'