SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
- Thread starter
- #21
Mkuu Teko Modise,Unawajua wajumbe??
Hao wajumbe wa Chama gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Teko Modise,Unawajua wajumbe??
Mkuu huwa nakuheshimu sana, usinifanye nikupuuze. Let the kid be....Mbona Unamtisha Bwana Robert?
Hayo ya PM mbona ya kawaida tu.
...halafu kumbe ndio hivi...tumo wote au wewe haumo?
naku nukuu
Usimkandamize mwenzio na kumwogopesha kuchukua Fomu.
Usiwe na Wasi wasi wewote ule.Mkuu huwa nakuheshimu sana, usinifanye nikupuuze. Let the kid be....
Acha maneno mengi! Tuanze kuchangisha hela za kampeni. Mimi nitakuwa mweka hazina.Twende moja kwa moja kwenye Mada
Robert Heriel achukuwe Fomu yeyote ili katika Uchaguzi unaokuja 2025.
Amejaa shehena, ana kipaji, anaaminika, ni Baba, ni Mkulima, ni mpiga Karate, Ni mfanyabiashara...yaani anaangukia kwa wale wenye Akili sana. Atatupeleka mbali sana
Aende Njombe tuJF hakuna Uchaguzi aliopita. Nafikiri Kondoa hivi, Iringa au hata Kiti Maalum
[emoji3] mkuu mimi ni CHADEMA so let me reserve my comment!Mkuu,
Chama gani lakini?
Tunamchangia za Fomu, hatuwezi kumlazimisha Chama.
Unacho Chama chochote unachopendekeza kitamfaa?
Chawa on air
Mama Karibu,Huyo jamaa kashashindwa kabla hata ya kuanza kufikiria kugombea. Ana threads za kuwashambulia wapiga kura muhimu sana ambao ni wanawake. Kwa mfano uzi wake wa tarehe 2/01/2023 katuasa tuwakatae wanawake kitu ambacho kisiasa ni kosa kubwa. Wanawake ndo wapiga kura waaminifu. Robert Heriel hata akigombea na Suphian wa CCM ataangushwa kirahisi sana.
Wewe ni mpumbavuTwende moja kwa moja kwenye Mada
Robert Heriel achukuwe Fomu yeyote ili katika Uchaguzi unaokuja 2025.
Amejaa shehena, ana kipaji, anaaminika, ni Baba, ni Mkulima, ni mpiga Karate, Ni mfanyabiashara...yaani anaangukia kwa wale wenye Akili sana. Atatupeleka mbali sana
Mkuu, WhoWeBe,Achukue fomu 'ZA' ubunge,......yaani zaidi ya moja. Hapo ndipo ulipojificha utani wa thread hii kama hamjaelewa!
CCM ina hazina!Twende moja kwa moja kwenye Mada
Robert Heriel achukuwe Fomu yeyote ili katika Uchaguzi unaokuja 2025.
Amejaa shehena, ana kipaji, anaaminika, ni Baba, ni Mkulima, ni mpiga Karate, Ni mfanyabiashara...yaani anaangukia kwa wale wenye Akili sana. Atatupeleka mbali sana
Huwa anawadharau watu wasio na elimu nk na ndio maana nasema siasa haiwafai watu dizaini yakeHuyo jamaa kashashindwa kabla hata ya kuanza kufikiria kugombea. Ana threads za kuwashambulia wapiga kura muhimu sana ambao ni wanawake. Kwa mfano uzi wake wa tarehe 2/01/2023 katuasa tuwakatae wanawake kitu ambacho kisiasa ni kosa kubwa. Wanawake ndo wapiga kura waaminifu. Robert Heriel hata akigombea na Suphian wa CCM ataangushwa kirahisi sana.
Mkuu Tate Mkuu,Acha maneno mengi! Tuanze kuchangisha hela za kampeni. Mimi nitakuwa mweka hazina.