SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
- Thread starter
- #41
Sunk nawe? wapi hapo uliposema watu Dizaini yake hawafai? Mbona Wanasiasa ndivyo walivyo....unajizimisha Data?Huwa anawadharau watu wasio na elimu nk na ndio maana nasema siasa haiwafai watu dizaini yake
Anafaa wapi..? Mie naona mnataka kumdhulumu nyota yake.
Haya basi tugange mbele