stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Jambo jema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gily,Umesahau ni mwanachama mzoefu wa chaputa.
🤣🤣🤣Hizo ni drama jaribu kuangalia maendeleo yake na mchango kweny jamii yake ...ishi nae kwanza ndo utamjua.Naona hivyo. Huyu Bwana Robert Heriel, kwa maandiko yake yeye kama mtu wa saikologia lakini, amejikita kwenye Siasa, zaidi ya hao uliowataja.. Anasemekana anapenda mambo ya Jamii, hivyo
Atafaa Bungeni! Yupo Ki Bashe, Ki Sugu alafu anapenda mambo ya Kina Maria Sarungi. Kombo hiyo Bungeni Vipi Mtu mmoja na kombo hizo.
Weka CV yake, Unayo?
WeweTwende moja kwa moja kwenye Mada
Robert Heriel achukuwe Fomu yeyote ili katika Uchaguzi unaokuja 2025.
Amejaa shehena, ana kipaji, anaaminika, ni Baba, ni Mkulima, ni mpiga Karate, Ni mfanyabiashara...yaani anaangukia kwa wale wenye Akili sana. Atatupeleka mbali sana
Kwa maana hiyo Unamjua lakini humjui?🤣🤣🤣Hizo ni drama jaribu kuangalia maendeleo yake na mchango kweny jamii yake ...ishi nae kwanza ndo utamjua.
Umenikumbusha mbali, lakini kwa sababu zisizoweza kuzuilika...nitaji stahiPendekezo lako nakubaliana nalo kwa asilimia kubwa na akichanga karata zake vizuri atashinda ili akaibebe taswari ya vijana wachache wenye maarifa makubwa.Kuhusu chama yeye achague mwenyewe maana sisi tunaangalia mtu na si chama,ila kungekuwa na mgombea binafsi ningemshauri afanye hivyo.
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Haaahaaa,sawa sawa.Umenikumbusha mbali, lakini kwa sababu zisizoweza kuzuilika...nitaji stahi
Kuh: Kuchagua kwa Sura.
Wasifu wake ungekuwepo hapa na mapicha picha.