Huyu Bwana Achukue Fomu za Ubunge 2025

Huwa anawadharau watu wasio na elimu nk na ndio maana nasema siasa haiwafai watu dizaini yake
Sunk nawe? wapi hapo uliposema watu Dizaini yake hawafai? Mbona Wanasiasa ndivyo walivyo....unajizimisha Data?

Anafaa wapi..? Mie naona mnataka kumdhulumu nyota yake.
Haya basi tugange mbele
 
Ume koti comment namba 2.
Hakuna Cha kuzulumu nyota,Nina hakika hawezi jieleza vizuri jukwaani Ile kiushawishi.
Napenda kutofautiana,
kwamba "Ushawishi" wake hakutamfanya awe Mwanasiasa maridadi....ninavyoelewa Ushawishi ni package nzuri humo Jukwaani?
 
Mi nashauri apewe ukuu wa wilaya apambane nayo kwanza maana anaonyeshea ni mtu wa vitendo na mifano halisi.Ubunge tumshauri wakili P.Mayala asikate tamaa ili 2025 arudi ulingoni tena maana ameshaiva vya kutosha.

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Usipende kusifu sana mwanaume mwenzio...ulichoandika ni ujinga mtupu
 
Kakimbia uchagani kwao ndo aje kugombea Dar unaumwa nn?? Aende kwao kwanza angebaki kule angekuwa mlevi.
 
Kupewa italeta hisia kuwa anapendelewa.
Hata hivyo Ushauri wako utazingatiwa na wale wenye kuhodhi madaraka hayo...


ya: Kuhusu Pascal, kaka yangu anajimudu, anaweza nae kubadilika na upepo wa Kisiasa.

...Lakini kuu hapa ni la huyo Bwana Robert Heriel....unampendekeza Chama gani?
Unakubaliana na pendekezo langu au Lah?

tuendelee kupiga kwata
 
Umesahau ni mwanachama mzoefu wa chaputa.
 
Kakimbia uchagani kwao ndo aje kugombea Dar unaumwa nn?? Aende kwao kwanza angebaki kule angekuwa mlevi.
Accumen Mo,
Sijui nianze wapi, hatahivyo ulitaka kuniambia "Naumwa"? Ulitaka kueleza kadamnasi ni Mchaga na amekimbia kwao? Ni mlevi?

eniweyi haijalishi, utasomeka.
Kikubwa hapa ni hilo Pendekezo langu?
Huyu bwana achukue fomu za Ubunge 2025 au Vinginevyo abaki humu JF?

...na Chama gani?
 
...kwa mtiririko huu, upo uwezekano hili pendekezo likapitishwa, itakuwa mswano tu

Ni washukuru in advance wote ambao mmeshachangia na wale watakaokuja kuchangia...n.k

Tutakutana Asubuhi
 
Hafai kuwa mbunge huyo. Kuna watu wana vipaji vya kuandika ila uongozi hawawezi. Heriel yupo group moja na kina Malisa Godlisten na Yeriko, ambao ukisoma maandishi yao ni wazuri mno. Ukiwapa Mic hawana confidence kabisa.
 
Ombi: Kwa wale wenye C.V ya Ndugu yetu, Kaka yetu Robert Heriel ambaye Nimependekeza Achukue fomu za Ubunge 2025
.....Chama achague mwenyewe


Atumwagie hapa ili mchakato huu uendeleee.

Asubuhi Njema Mkuu/Wakuu
Aamka kwa amani.
 
Ngoja nikuambie hao jamaa wapo kibao wakina malisa G ,sijui Ole Mushi wana kelele kibao mitandaoni kuteka attention ya watu ila kiuhalisia uwezo wao wa kawaida ni vile wanataka fursa fulani ..

Tambua wanakosoa baadhi kwa vile wamekosa fursa ya kuwa kweny system wakiingia watakaa kimya ..Njaa mbaya sana.
 
Naona hivyo. Huyu Bwana Robert Heriel, kwa maandiko yake yeye kama mtu wa saikologia lakini, amejikita kwenye Siasa, zaidi ya hao uliowataja.. Anasemekana anapenda mambo ya Jamii, hivyo
Atafaa Bungeni! Yupo Ki Bashe, Ki Sugu alafu anapenda mambo ya Kina Maria Sarungi. Kombo hiyo Bungeni Vipi Mtu mmoja na kombo hizo.

Weka CV yake, Unayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…