Huyu Bwana Achukue Fomu za Ubunge 2025

🤣🤣🤣Hizo ni drama jaribu kuangalia maendeleo yake na mchango kweny jamii yake ...ishi nae kwanza ndo utamjua.
 
Wakuu, kwani hana hata Wasifu na Picha zinazoambatana?
 
Wewe
1. Mkewe
2. ID yake nyingine?
 
🤣🤣🤣Hizo ni drama jaribu kuangalia maendeleo yake na mchango kweny jamii yake ...ishi nae kwanza ndo utamjua.
Kwa maana hiyo Unamjua lakini humjui?
Drama ya nini Ndugu.
Aidha unamjua au humjui. Tunahabarishana hapa.

Mada inajieleza tosha.
 
Chizi Maarifa,
Wewe ni Msomi, umesoma mada, lakini unaleta utani.

...maarifa yanakukimbia.

Ahsante kwa kuchangia uchizi
 
Pendekezo lako nakubaliana nalo kwa asilimia kubwa na akichanga karata zake vizuri atashinda ili akaibebe taswari ya vijana wachache wenye maarifa makubwa.Kuhusu chama yeye achague mwenyewe maana sisi tunaangalia mtu na si chama,ila kungekuwa na mgombea binafsi ningemshauri afanye hivyo.

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Umenikumbusha mbali, lakini kwa sababu zisizoweza kuzuilika...nitaji stahi

Kuh: Kuchagua kwa Sura.

Wasifu wake ungekuwepo hapa na mapicha picha.
 
Kumbe huyu bwana ni Haramia anayetumiwa na CCM!??

Nasema hivi baada ya kuona barua yake ya Wazi kwa Mh. Tundu Lissu

Nimetapelika na mimi!
 
Ningependa Kurudisha pendekezo.
I rescind my unresearched commendation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…