Huyu changudoa wa Corner bar, nahisi ni jini aliyevaa umbo la binadamu ila sina uhakika

Jiandae Kuuliwa au hata Kudhuruliwa nae Ndugu kwani Watu kama hawa huwa hawataki Kuumbuliwa hivi.

Kuwa makini sana kwani nawajua japo sitaki uniulize Swali la Kwanini.
 
Ukimchukua kwa mara nyingine tena, nenda na nyama ya Kitimoto 🐽🐷, halafu mshawishi ale! Akikataa, basi ujue huyo kweli ni jini!! Timua mbio!! 🏃🏃
Huo ni uongo Ambao sisi binadamu tunajidanganya nao, Nilifanya research mtandaoni nikagundua majini wanaovaa umbo la kibinadamu nao wanakula kitimoto kama kawaida, kuna siku ntaleta thread hapa inayohusu majini tunayoishi nayo yaliyo na umbo la kibinadamu Tate Mkuu
 
Mmh umeongea ukweli, hata mm nlikuwa naogopa kuandika thread ya hivi, sijui nn leo kimenifanya nimepost hii thread Mightier
Naendelea tu Kusisitiza Kwako kuwa kuwa makini sana na ukiweza mtafute muombe Msamaha au epuka kabisa kwenda tena hilo eneo kuanzia sasa.

Sitaki uniulize Kwanini tu tafadhali.
 

Mungu wako anakupenda sana

Fuata akili zako na usikilize sauti ya ndani inayoongea na wewe utakua salama
 
endelea kumchunguza
 
Kwani mkuu pamoja na kumhisi ni jini humuogopi kuwa anaweza kukudhuru maana kupitia andishi lako anaweza kukutambua?
Kama ni binadamu kawaida na hajakutuma kumfanyia matangazo atajisikiaje akijua umemuanika huku? Kulikuwa na sababu gani ya kumtaja alipo, jina lake na account yake ya FB? Siku kisu kikigusa mfupa uataomba msamaha?
 
Tegeta kibo maeneo gani hapo [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…