Huyu changudoa wa Corner bar, nahisi ni jini aliyevaa umbo la binadamu ila sina uhakika

Huyu changudoa wa Corner bar, nahisi ni jini aliyevaa umbo la binadamu ila sina uhakika

Anaitwa Jacky, nlimfaham mwaka 2019,huo mwaka nlimchukua mara moja Kwa ajili ya short for first time, sasa tukajenga mazoea Kwa vile akiwa chumbani ni mchangamfu sana, aliiona picha yangu kwenye simu, akaniambia iyo picha ya siku nyingi, nkamuuliza amejuaje akaniambia kwasababu ameona damu, mmh nkaguna kimoyomoyo ila nkaweka alama ya kuuliza kichwani.

Kwa mara ya kwanza Nlimchukua mara moja tu, ikapita miezi mingi sikwenda kona baa, siku nilienda tena pale, nlimwona kwa mbali ananikazia macho na kuniangalia kwa makini, nlivoendaga kumchukua mara ya pili, aliniambia mambo yote nilikua nafanya pale kona baa kwa usiku ule na yalikua kweli Nikasema miezi mingi imepita tangu nimchukue ina maana hajanisahaugi..

Nina mashaka na huyu changu, ingawa ni Mweusi, mzuri ana kiuno nyigu, na chura Mkubwa, FB anatumia jina la jack chacha kwa wahudhuriaji wa kona baa mtakuwa mnamfahamu huyo mdada, kuna uwezekano mkubwa nilifanya ngono na a fallen angel (mmoja wa malaika aliefukuzwa mbinguni na shetani)

Wanaume tuwe makini..
Jiandae Kuuliwa au hata Kudhuruliwa nae Ndugu kwani Watu kama hawa huwa hawataki Kuumbuliwa hivi.

Kuwa makini sana kwani nawajua japo sitaki uniulize Swali la Kwanini.
 
Ukimchukua kwa mara nyingine tena, nenda na nyama ya Kitimoto 🐽🐷, halafu mshawishi ale! Akikataa, basi ujue huyo kweli ni jini!! Timua mbio!! 🏃🏃
Huo ni uongo Ambao sisi binadamu tunajidanganya nao, Nilifanya research mtandaoni nikagundua majini wanaovaa umbo la kibinadamu nao wanakula kitimoto kama kawaida, kuna siku ntaleta thread hapa inayohusu majini tunayoishi nayo yaliyo na umbo la kibinadamu Tate Mkuu
 
Mmh umeongea ukweli, hata mm nlikuwa naogopa kuandika thread ya hivi, sijui nn leo kimenifanya nimepost hii thread Mightier
Naendelea tu Kusisitiza Kwako kuwa kuwa makini sana na ukiweza mtafute muombe Msamaha au epuka kabisa kwenda tena hilo eneo kuanzia sasa.

Sitaki uniulize Kwanini tu tafadhali.
 
Anaitwa Jacky, nilimfahamu mwaka 2019,huo mwaka nulimchukua mara moja kwa ajili ya short for first time, sasa tukajenga mazoea kwa vile akiwa chumbani ni mchangamfu sana, aliiona picha yangu kwenye simu, akaniambia hiyo picha ya siku nyingi, nikamuuliza amejuaje akaniambia kwasababu ameona damu, mmh nikaguna kimoyomoyo ila nikaweka alama ya kuuliza kichwani.

Kwa mara ya kwanza nilimchukua mara moja tu, ikapita miezi mingi sikwenda kona baa, siku nilienda tena pale, nilimwona kwa mbali ananikazia macho na kuniangalia kwa makini, nilivyoendaga kumchukua mara ya pili, aliniambia mambo yote nilikuwa nafanya pale kona baa kwa usiku ule na yalikuwa kweli nikasema miezi mingi imepita tangu nimchukue ina maana hajanisahaugi.

Nina mashaka na huyu changu, ingawa ni Mweusi, mzuri ana kiuno nyigu, na chura Mkubwa, FB anatumia jina la Jack Chacha kwa wahudhuriaji wa kona baa mtakuwa mnamfahamu huyo mdada, kuna uwezekano mkubwa nilifanya ngono na a fallen angel (mmoja wa malaika aliefukuzwa mbinguni na shetani)

Wanaume tuwe makini..

Mungu wako anakupenda sana

Fuata akili zako na usikilize sauti ya ndani inayoongea na wewe utakua salama
 
endelea kumchunguza
 
Mada za machangudoa zimekua nyingi humu… waacheni nao wajitaftie ridhki…

Zina lengo ya kupunguza munkari na katiba mpya:

IMG_20210811_172404_242.jpg
 
Kwani mkuu pamoja na kumhisi ni jini humuogopi kuwa anaweza kukudhuru maana kupitia andishi lako anaweza kukutambua?
Kama ni binadamu kawaida na hajakutuma kumfanyia matangazo atajisikiaje akijua umemuanika huku? Kulikuwa na sababu gani ya kumtaja alipo, jina lake na account yake ya FB? Siku kisu kikigusa mfupa uataomba msamaha?
 
Tegeta kibo maeneo gani hapo [emoji16]
Huo ni mtazamo wenu, ila mm binafsi nlivoandika hii thread sikua na nia ya kumtangaza huyo mdada, coz mdada mwenyewe ana smartphone, ivo hanihitaji mm nimtangaze, nia yangu tu ni kusisitiza wanaume tuwe makini, sahiv nshaacha iyo tabia ya kununua dada poa.. ni addiction mbaya na ni risk .

Kwa kifupi mm nilikua ni mteja tu wa kununua makahaba, nikisema nianze elezea machimbo ya shivaz, malindi, Tegeta kibo, etc na malaya zake ntajaza thread KijanaHuru dronedrake
 
Back
Top Bottom