Muhujumu uchumi hajianiki hivyo hata siku moja..Kijana naona anakuja kwa kas sna na hata saa hakuna haujuwae kuwa alikuwa nani na anafanya biashara aya kaz gani
Jana aliwachukuwa watoto yatima 120 na kwenda kuwanunulia vitu mlimani city iliyo gharimu milion 40
Jmaa huyu anatoa wapi pesa na serklali na usalama wa taifa huyu isije kuwa. Ni muhujumu uchumi kwahyo kwa kuwa tumia watoto yatima ili atakatishe pesa pesa
Naomba mamlaka imkamate kisha imuhoji
Vipi NshomireKiongozi wa chama na serikali mtoto mdogo
Hivi Lucas Mwashambwa una degree ta udms au una certificate? UnatuaibishaJamaa ana kadi ya CCM uzuri siyo chawa kama Lucas na hana degree ya UDSM kama Lucas.
inaonyesha wazi kuwa wewe ni mbumbumbu mwenzangu.Kama havunji sheria na hakuna aliyetapeliwa hakuna shida; kuhusu anapata hela wapi, inatakiwa mimi na wewe tuende tukamuulize atusaidie na sisi kutupa hizo mbinu za kupata hela.
Silaha ya maskini ni hasira na matusi π€π€Asee tutafuteni hela ukiwa na hela huwezi kuwa na hasira kama mleta mada.
Nshomile familyAu
Vipi Nshomire
Inakuathiri vipi katika upatikanaji wako wa mkate wa kila siku?inaonyesha wazi kuwa wewe ni mbumbumbu mwenzangu.
Kumiliki ukwasi usiikuwa na chanzo halali cha mapato na hulipi kodi ni kosa kisheria.
Nchi za wenzetu hakuna ujinga huu wa kula bata na hulipi kodi au chanzo cha mapato hakijulikani
Asee jamaa kweli ana degree ya UDSM sikuamini mara ya kwanza niliposikia ikabidi mimi mwenyewe na jopo la wambea tukachunguze na kuthibitisha tulichoka maaamaeee kugungundua huyu chawa uchwara ana Jiwe la milimani. Ikabidi tuvue nguo na kunya hovyohovyo na kutapanya mavi kwenye campus kuilaani UDSM.
Ni mzimu wake...Hi
Hivi astronaut aliekufa angani kalpana Chawla ndio wewe?
Njoo na kuku wako na wewe uangalie ata meza mbegu ngapi mkuu ili uishi maisha ya ndoto yakoNachomkubali dogo anajiamini na ana authority/amri. Anasema wamemsema yeye sijui freemasons hela zake za kiuchawi lakini anashukuru wazazi wake na ndugu zake wote ni wazima.
Haha π π€£ π UDSM badala ya kutengeneza mapinduzi ya ki fikra imeanza tengeza chawa na kunguni!! Elimu imeshuka kwa kweliAsee jamaa kweli ana degree ya UDSM sikuamini mara ya kwanza niliposikia ikabidi mimi mwenyewe na jopo la wambea tukachunguze na kuthibitisha tulichoka maaamaeee kugungundua huyu chawa uchwara ana Jiwe la milimani. Ikabidi tuvue nguo na kunya na kutapanya mavi kwenye campus kuilaani UDSM.
Dogo hunijui wewe. Unajuwa hapa nilipo na changia huu uzi niko ndani ya luxury apartment yangu Monaco.Njoo na kuku wako na wewe uangalie ata meza mbegu ngapi mkuu ili uishi maisha ya ndoto yako
Nina degree kali sana ambayo ukiiona utabaki unabubujikwa na machozi