Huyu chief Goodlove anafanya biashara gani?

Huyu chief Goodlove anafanya biashara gani?

Kijana naona anakuja kwa kas sna na hata saa hakuna haujuwae kuwa alikuwa nani na anafanya biashara aya kaz gani


Jana aliwachukuwa watoto yatima 120 na kwenda kuwanunulia vitu mlimani city iliyo gharimu milion 40

Jmaa huyu anatoa wapi pesa na serklali na usalama wa taifa huyu isije kuwa. Ni muhujumu uchumi kwahyo kwa kuwa tumia watoto yatima ili atakatishe pesa pesa

Naomba mamlaka imkamate kisha imuhoji
Muhujumu uchumi hajianiki hivyo hata siku moja..
 
Kama havunji sheria na hakuna aliyetapeliwa hakuna shida; kuhusu anapata hela wapi, inatakiwa mimi na wewe tuende tukamuulize atusaidie na sisi kutupa hizo mbinu za kupata hela.​
inaonyesha wazi kuwa wewe ni mbumbumbu mwenzangu.
Kumiliki ukwasi usiikuwa na chanzo halali cha mapato na hulipi kodi ni kosa kisheria.

Nchi za wenzetu hakuna ujinga huu wa kula bata na hulipi kodi au chanzo cha mapato hakijulikani
 
Inaweza kuonekana kama ni wivu lakini kuhoji mambo kama haya kwenye jamii ni jambo muhimu na mamlaka husika zinatakiwa kulifanyia kazi hasa kwenye nyakati hizi ambapo mtu yuko radhi hata kuutoa Uhai wa mtu ili tu afanikiwe.....

Kukithiri kwa mambo haya kunaweza kujenga taswira mbaya kwenye jamii na kuzalisha kizazi kinachoamini kwenye..... short cuts na ujanja ujanja kwenye maisha........

Kesi kama hizi nchi za zilizoendelea huwa zinateka attention ya mamlaka kwa kiasi kikubwa na ikibainika huwa kuna adhabu kubwa kwa muhusika......
 
inaonyesha wazi kuwa wewe ni mbumbumbu mwenzangu.
Kumiliki ukwasi usiikuwa na chanzo halali cha mapato na hulipi kodi ni kosa kisheria.

Nchi za wenzetu hakuna ujinga huu wa kula bata na hulipi kodi au chanzo cha mapato hakijulikani
Inakuathiri vipi katika upatikanaji wako wa mkate wa kila siku?
 
H

Hivi Lucas Mwashambwa una degree ta udms au una certificate? Unatuaibisha
Asee jamaa kweli ana degree ya UDSM sikuamini mara ya kwanza niliposikia ikabidi mimi mwenyewe na jopo la wambea tukachunguze na kuthibitisha tulichoka maaamaeee kugungundua huyu chawa uchwara ana Jiwe la milimani. Ikabidi tuvue nguo na kunya hovyohovyo na kutapanya mavi kwenye campus kuilaani UDSM.

Nyau de adriz
 
Asee jamaa kweli ana degree ya UDSM sikuamini mara ya kwanza niliposikia ikabidi mimi mwenyewe na jopo la wambea tukachunguze na kuthibitisha tulichoka maaamaeee kugungundua huyu chawa uchwara ana Jiwe la milimani. Ikabidi tuvue nguo na kunya na kutapanya mavi kwenye campus kuilaani UDSM.
Haha 😄 🤣 😂 UDSM badala ya kutengeneza mapinduzi ya ki fikra imeanza tengeza chawa na kunguni!! Elimu imeshuka kwa kweli
 
Kweli Wakuu ni lazima tuhoji huyu Chief Godlove na hela zake za maonyesho ana miradi gani ya kumuingizia hizo pesa za maonyesho ? Hatuna wivu lakini ni muhimu pia kujua, maana wenye hela huwa hawapigi nazo picha na kuweka mitandaoni. Tunachokiona mitandaoni ni bidhaa zao zinazowafanya waitwe matajiri lakini hawapigi picha na hela zao. Muhimu TRA Tanzania na vyombo vingine vilichunguze hili. Vijana wengi wanaathirika kisaikolojia wanavyoangalia hizi video na kejeli zake huyu Chief Godlove
 
Bongo usipokuwa na hofu ya MUNGU ama hofu ya kuvunja sheria mbona unatoboa chap tu mkuu 😅

Kuna pesa zinazagaa zagaa tu ni kwa vile kuna kanuni za kidini muda mwingine (wenye hofu ya MUNGU) lakini pia watu wanaogopa kuvunja sheria kwa matokeo ya baadae.

Big boys take risks japo jitahidi iwe ni calculated one.
 
Back
Top Bottom