Huyu chief Goodlove anafanya biashara gani?

Kama havunji sheria na hakuna aliyetapeliwa hakuna shida; kuhusu anapata hela wapi, inatakiwa mimi na wewe tuende tukamuulize atusaidie na sisi kutupa hizo mbinu za kupata hela.​
Hata kama haijathibitika kuwa amevunja sheria ila nadhani mtu yoyote ukiwa na mali basi uwe na uwezo wa kuthibitisha umezipata kwa njia gani.
 
Hata kama haijathibitika kuwa amevunja sheria ila nadhani mtu yoyote ukiwa na mali basi uwe na uwezo wa kuthibitisha umezipata kwa njia gani.
Sahihi kbsaa yaan out of no were lijitu linaibuka linagawa minoti tu haijulikani kazi toa wali
 
Unamfananisha GINIMBI na Chawa Tapeli CGL? Ginimbi source ya hela yake inajulikana.
 
Chunya moja! dhahabu kwa wingi
 
Chukua hii,
-Matajiri wa kweli hawatoi misaada kwa kujitangaza na hawana mashindano ya kuoneshana nani anapesa Zaidi
-Matajiri wanao jitangaza, kiuhalisia sio tajiri huyo. "Pesa haitaki kelele!" huyo ana njaa ya fedha na umaarufu.

Anachokifanya;
kuwalipa wenye media mbali mbali kutangaza au kuchapisha taarifa zake za kumsifia.(kumpaisha)
Ana miliki chawa wenye akaunti nyingi na kumsifia sifia kwenye social medias karibu zote.

Mpaka sasa, siyo yeye waa chawa wake wanao weza kusema jamaa ana biashara gani, hii hakuna πŸ˜€ πŸ˜€.
Matajiri ni wale wamiliki wa mashamba, majengo, viwanda, makampuni kwenye sekta mbalimbali, hisa nk nk.
 
None of your Bisnesss kujua ni halali au haram dunia ina pande mbili za shilling Yan ubaya na uzuri
Hata kama haijathibitika kuwa amevunja sheria ila nadhani mtu yoyote ukiwa na mali basi uwe na uwezo wa kuthibitisha umezipata kwa njia gani.
 
Acha wivu umasikini utakua tafuta hela
 
Hata kama haijathibitika kuwa amevunja sheria ila nadhani mtu yoyote ukiwa na mali basi uwe na uwezo wa kuthibitisha umezipata kwa njia gani.
Utakuwa bado uko kwenye ujima, sasa ikiwa hivyo, itakusaidia vipi wewe kukuongezea kipato?
 
Sasa hela za kuwalipa machawa anapata wapi? Kwa sababu mimi na wewe hatuna chawa kwa sababu hatuwezi kuwalipa.
 
Ilisemaje lete nukuu hzo na ma andiko hayo
Shetani akamchukua mwana wa adamu mpaka kwenye kilele cha mlima na kumuonyesha mali zote za dunia, akamawambia '' ukiniabudu na kunisujudia, nitakupa mali hizi zote za dunia.''

Kwa maelezo hayo, wewe maisha yako ni magumu kwa sababu hutaki kumsujudia.​
 
Hahahaha
Kaka nafanya kaz sna nanituma sna ila sipati pesa huyu atuambie alizipataje mnk kuna tatizo kubwa San wenda huyu ni jambazi au anamiliki genge la uhali
Hahahaha riziki mafungu7 wote hatuwezi kuwa matajiri regardless unachapa kazi kwa kiwango gani. Take it easy chief kapambana kapata hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…