Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Huyu mdada ni mrembo sana, hongereni sana “piesiyu” kwa kumchagua amlinde mama yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndugu yangu hizi nchi zetu za dunia ya 3 bado sana tunajitafuta.Huyu mdada ni mrembo sana, hongereni sana “piesiyu” kwa kumchagua amlinde mama yetuView attachment 2836302
Huyo bonge Nyanya tu hamna kitu hapoHuyu mdada ni mrembo sana, hongereni sana “piesiyu” kwa kumchagua amlinde mama yetuView attachment 2836302
Acha kutamani mke wa mtu mmewe yupo humu atakutuangaHuyu mdada ni mrembo sana, hongereni sana “piesiyu” kwa kumchagua amlinde mama yetuView attachment 2836302
😁😅😄😀Huyo bonge Nyanya tu hamna kitu hapo
Mrembo wa kitu gani aisee?
Watu wana walinzi wa jadi huko Pemba na BagamoyoUlinzi upo kwa viongozi wakubwa wa dunia, sisi huku ni tunabanana tuu sasa rais wa Tz ana effect gani duniani mpaka ulinzi uwe mkubwa
Kuna Jambo Siyo BureMmeanza
😄😅😃😃kuna watu wameshapita hapo wamegeuza pande zote