Huyu dada simuelewi

Huyu dada simuelewi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Leo nilikua kwenye ktuo kimoja cha mabasi ya mikoani, nikiwa nikisubiri usafiri wa kunipeleka mkoa x; wakati nikisubiri gari, nilikaa kwenye kimeza kimoja karibu na mchoma mishikaki na chipsi, nikiwa napata pepsi huku tukibadilishana mawazo na baadhi ya abiria.

Ghafla akatokea dada mmoja ambaye simfahamu, amevaa baibui nyeusi huku amefunika hadi kichwa na kuachia sehemu ya uso tu ionekane; akaja kwenye ile meza yetu na kuvuta kiti, kisha akanijulia hali.

Baada ya kama dakika tatu hivi, yule dada akaniomba nimnunulie chipsi, kwa kuwa sikuwa nimejiandaa nikamwambia achukue chipsi kavu; mara ghafla akamwambia yule wa jikoni ampatie chipsi mayai na pepsi ya 'take away'.

Sisi tukabaki kumtazama tu, mara basi nililokuwa nalisubiri nalo likafika, nikamwambia yule dada mi naondoka; akaniuliza unaenda wapi? Nikamjibu naenda mkoa x, akamuita yule kijana ili nilipe bili; nami nikalipa nikaondoka.

Wakati naondoka, akanifuata kijana mmoja ambaye naye tulikuwa tumekaa naye pamoja; akaniuliza,mbona yule dada simuelewi elewi, inakuwaje mtu hamfahamiani afanye vile; mi nikamjibu hata mimi mwenyewe naona kama miujiza tu.

Yule kijana akaniambia, inawezekana labda ni majaribu tu, huwezi jua; inawezekana ikawa njia ya fursa huko mbeleni,mara mafursa ya maokoto yakafunguka.

Nikabaki nacheka tu. Ila kiukweli, mpaka sasa bado natafakari hiyo sinema.​
 
{F4EE6BF1-73C9-400F-BF43-63115820A9C0}.png.jpg
 
Ulikutana na jini kikomba pesa😂😂😂
 
Umepigwa chips yai Pepsi moja ya baridi kabisa na hujaambulia hata busu harafu unasema huelewi ...

Ewiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa muonekano tu, kama ningehitaji ningepata; ila hofu yangu ni ile hali ya yeye kujiamini, ukichangia na mavazi, ndio hofu zaidi.
 
Leo nilikua kwenye ktuo kimoja cha mabasi ya mikoani, nikiwa nikisubiri usafiri wa kunipeleka mkoa x; wakati nikisubiri gari, nilikaa kwenye kimeza kimoja karibu na mchoma mishikaki na chipsi, nikiwa napata pepsi huku tukibadilishana mawazo na baadhi ya abiria.

Ghafla akatokea dada mmoja ambaye simfahamu, amevaa baibui nyeusi huku amefunika hadi kichwa na kuachia sehemu ya uso tu ionekane; akaja kwenye ile meza yetu na kuvuta kiti, kisha akanijulia hali.

Baada ya kama dakika tatu hivi, yule dada akaniomba nimnunulie chipsi, kwa kuwa sikuwa nimejiandaa nikamwambia achukue chipsi kavu; mara ghafla akamwambia yule wa jikoni ampatie chipsi mayai na pepsi ya 'take away'.

Sisi tukabaki kumtazama tu, mara basi nililokuwa nalisubiri nalo likafika, nikamwambia yule dada mi naondoka; akaniuliza unaenda wapi? Nikamjibu naenda mkoa x, akamuita yule kijana ili nilipe bili; nami nikalipa nikaondoka.

Wakati naondoka, akanifuata kijana mmoja ambaye naye tulikuwa tumekaa naye pamoja; akaniuliza,mbona yule dada simuelewi elewi, inakuwaje mtu hamfahamiani afanye vile; mi nikamjibu hata mimi mwenyewe naona kama miujiza tu.

Yule kijana akaniambia, inawezekana labda ni majaribu tu, huwezi jua; inawezekana ikawa njia ya fursa huko mbeleni,mara mafursa ya maokoto yakafunguka.

Nikabaki nacheka tu. Ila kiukweli, mpaka sasa bado natafakari hiyo sinema.​
kijana ambae mlikua mme kaa nae pamoja na akakufata na akakuuliza mbona huyu dada wa mchongo simuelewi,

ndie alikua na yule dada wa mchongo katika mission town,

Shukuru Mungu basi ulilokua ukilisubiria lilikua limefika na ukaondoka 🐒
 
Anko mafix in da house 🤣🤣🤣
Wewe uliwe pesa usiombe hata namba??? Kwanza hata hiyo safari ungeahirisha ili ubaki na huyo bidada
Najiuliza, je nisingemnunulia ingetokea nini?
 
Back
Top Bottom