Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, sikuchukuaUlikumbuka kuchukua namba yake ya simu?
Hamkutandikwa bakora kwa kula hadharani?Leo nilikua kwenye ktuo kimoja cha mabasi ya mikoani, nikiwa nikisubiri usafiri wa kunipeleka mkoa x; wakati nikisubiri gari, nilikaa kwenye kimeza kimoja karibu na mchoma mishikaki na chipsi, nikiwa napata pepsi huku tukibadilishana mawazo na baadhi ya abiria.
Ghafla akatokea dada mmoja ambaye simfahamu, amevaa baibui nyeusi huku amefunika hadi kichwa na kuachia sehemu ya uso tu ionekane; akaja kwenye ile meza yetu na kuvuta kiti, kisha akanijulia hali.
Baada ya kama dakika tatu hivi, yule dada akaniomba nimnunulie chipsi, kwa kuwa sikuwa nimejiandaa nikamwambia achukue chipsi kavu; mara ghafla akamwambia yule wa jikoni ampatie chipsi mayai na pepsi ya 'take away'.
Sisi tukabaki kumtazama tu, mara basi nililokuwa nalisubiri nalo likafika, nikamwambia yule dada mi naondoka; akaniuliza unaenda wapi? Nikamjibu naenda mkoa x, akamuita yule kijana ili nilipe bili; nami nikalipa nikaondoka.
Wakati naondoka, akanifuata kijana mmoja ambaye naye tulikuwa tumekaa naye pamoja; akaniuliza,mbona yule dada simuelewi elewi, inakuwaje mtu hamfahamiani afanye vile; mi nikamjibu hata mimi mwenyewe naona kama miujiza tu.
Yule kijana akaniambia, inawezekana labda ni majaribu tu, huwezi jua; inawezekana ikawa njia ya fursa huko mbeleni,mara mafursa ya maokoto yakafunguka.
Nikabaki nacheka tu. Ila kiukweli, mpaka sasa bado natafakari hiyo sinema.
Jini gani linakula kiepe yai na mkubwa wao.Itakuwa ni jini.
Umehudumia janaume!Leo nilikua kwenye ktuo kimoja cha mabasi ya mikoani, nikiwa nikisubiri usafiri wa kunipeleka mkoa x; wakati nikisubiri gari, nilikaa kwenye kimeza kimoja karibu na mchoma mishikaki na chipsi, nikiwa napata pepsi huku tukibadilishana mawazo na baadhi ya abiria.
Ghafla akatokea dada mmoja ambaye simfahamu, amevaa baibui nyeusi huku amefunika hadi kichwa na kuachia sehemu ya uso tu ionekane; akaja kwenye ile meza yetu na kuvuta kiti, kisha akanijulia hali.
Baada ya kama dakika tatu hivi, yule dada akaniomba nimnunulie chipsi, kwa kuwa sikuwa nimejiandaa nikamwambia achukue chipsi kavu; mara ghafla akamwambia yule wa jikoni ampatie chipsi mayai na pepsi ya 'take away'.
Sisi tukabaki kumtazama tu, mara basi nililokuwa nalisubiri nalo likafika, nikamwambia yule dada mi naondoka; akaniuliza unaenda wapi? Nikamjibu naenda mkoa x, akamuita yule kijana ili nilipe bili; nami nikalipa nikaondoka.
Wakati naondoka, akanifuata kijana mmoja ambaye naye tulikuwa tumekaa naye pamoja; akaniuliza,mbona yule dada simuelewi elewi, inakuwaje mtu hamfahamiani afanye vile; mi nikamjibu hata mimi mwenyewe naona kama miujiza tu.
Yule kijana akaniambia, inawezekana labda ni majaribu tu, huwezi jua; inawezekana ikawa njia ya fursa huko mbeleni,mara mafursa ya maokoto yakafunguka.
Nikabaki nacheka tu. Ila kiukweli, mpaka sasa bado natafakari hiyo sinema.
Yawezekana ni dume la daslam tu limevaa baibui na kubadili sautiItakuwa ni jini.
Hilo ni dume mkuuMtoa mada kwanini umemnunulia chipsi mtu ambaye hata humjui??Mnawezaje Kwa kweli kisa mwanamke.
Let's say ungekuwa na nauli tu huna hela nyingine kabisa alafu anakuambia umnunulie ungefanyaje??
Angekuwa mwanaume amefanya hayo aliyofanya huyo mwanamke ungekubalii??
Niseme tu Hawa wanawake wameshatuona wanaume ni mazuzu.
Kumpa mtu msaada wa chipsi kavu halafu akaagiza chipsi yai na soda baridi ndo utuletee mayowe huku mitandaoni....Leo nilikua kwenye ktuo kimoja cha mabasi ya mikoani, nikiwa nikisubiri usafiri wa kunipeleka mkoa x; wakati nikisubiri gari, nilikaa kwenye kimeza kimoja karibu na mchoma mishikaki na chipsi, nikiwa napata pepsi huku tukibadilishana mawazo na baadhi ya abiria.
Ghafla akatokea dada mmoja ambaye simfahamu, amevaa baibui nyeusi huku amefunika hadi kichwa na kuachia sehemu ya uso tu ionekane; akaja kwenye ile meza yetu na kuvuta kiti, kisha akanijulia hali.
Baada ya kama dakika tatu hivi, yule dada akaniomba nimnunulie chipsi, kwa kuwa sikuwa nimejiandaa nikamwambia achukue chipsi kavu; mara ghafla akamwambia yule wa jikoni ampatie chipsi mayai na pepsi ya 'take away'.
Sisi tukabaki kumtazama tu, mara basi nililokuwa nalisubiri nalo likafika, nikamwambia yule dada mi naondoka; akaniuliza unaenda wapi? Nikamjibu naenda mkoa x, akamuita yule kijana ili nilipe bili; nami nikalipa nikaondoka.
Wakati naondoka, akanifuata kijana mmoja ambaye naye tulikuwa tumekaa naye pamoja; akaniuliza,mbona yule dada simuelewi elewi, inakuwaje mtu hamfahamiani afanye vile; mi nikamjibu hata mimi mwenyewe naona kama miujiza tu.
Yule kijana akaniambia, inawezekana labda ni majaribu tu, huwezi jua; inawezekana ikawa njia ya fursa huko mbeleni,mara mafursa ya maokoto yakafunguka.
Nikabaki nacheka tu. Ila kiukweli, mpaka sasa bado natafakari hiyo sinema.
Wanaume wanavaa hijabu siku hizi?Umehudumia janaume!
Sikuomba namba mkuu 😀fursa ya kupewa gono
Ukweli imetokeaPanga uongo uwe wa kuvutia
Nilijua dishi haliko sawa, kwa sababu alikuwa anajiamini sanaMjini shupe hapa Mimi angelipa Tu mwenyewe yaani from nowhere aje nimlipie for no reason
LABDA atleast ukikuangalia unajua anashida au dishi limecheza
Hata kutoa ni moyo mzee usiwazee sana
Wanaume wanavaa baibui siku hiziHilo ni dume mkuu