Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu daktari wa meno alibadilisha hadi muonekano wa ngozi??Wakuu,
Sijui Doctor kapitia hatua ngapi kurekebisha tabasamu ila kafanya kazi ya kutukuka.
Je unadhani binti angebaki na meno ya kuzaliwa au ni bora alifanya marekebisho?
View attachment 2186338