Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ni watu wawili tofauti kabisa, angalia mashavu,kidevu na paji la usoWakuu,
Sijui Doctor kapitia hatua ngapi kurekebisha tabasamu ila kafanya kazi ya kutukuka.
Je unadhani binti angebaki na meno ya kuzaliwa au ni bora alifanya marekebisho?
View attachment 2186338
Hongera kwa kupata tabasamu la moyoNililipa dola 500 mwanzoni ( consultation + braces). Then nikawa nalipa kidogo kidogo kila ninapoenda for adjustments kila baada ya miezi 2. Mwisho unalipia retainers. Hiyo ilikuwa mwaka 2009 mpaka 2011. Niliwekewa pia crowns meno ya mbele maana yalivunjika zamani, so wakafanya root canal na crowns. Jumla kama milion 4 ila sikulipa kwa mara moja yote. Results nzuri sana maana meno yamekaa kwa mpangilio sana. Mimi nilifanya private hospital. Muhimbili/ Mnazi mmoja nasikia nao wanatoa hizi huduma siku hizi (sina uhakika lakini) kama ni lweli gharama zake nadhani ziakuwa sio kubwa kama private. Unaweza kwenda kuulizia
Mambo madogo kama muonekano wa meno hayawezi kutushughulisha sehemu kubwa ya sisi wanaume[emoji3]Kwanini umehisi hivyo?
Labda Kwa mtazamo huo mkuuMarekebisho ya meno yanachukua muda mrefu,miaka kadhaa,so inawezekana hizo picha mbili zina utofauti wa miaka plus marekebisho lazima uone utofauti
Inawezekana,Ila hapo juu ameeleza jinsi alivyokuwa anaitwa majina ya ajabu tena tangu akiwa na umri mdogo mpaka leo anakumbuka,lazima ilimuathiri sana hata angekuwa mwanaume.Mambo madogo kama muonekano wa meno hayawezi kutushughulisha sehemu kubwa ya sisi wanaume
Ok nimepitia stoory yake huyo binti anaitwa Ellie na alianza surgery akiwa 16 akifanya operation iliyohusisha ukatwaji wa taya zote mbili yani ya juu na ya chiniInawezekana picha ya kwanza ilikuwa awakati ana umri mdogo hiyo nyingine ni baada ya miaka kadhaa
Asante,kumbe amepiti mengiOk nimepitia stoory yake huyo binti anaitwa Ellie na alianza surgery akiwa 16 akifanya operation iliyohusisha ukatwaji wa taya zote mbili yani ya juu na ya chini
Pia alifanya marekebisho madogo kwenye kidevu. Ellie baada ya surgey ililazimu kufanya diet kwa kula chakula cha kimiminika kwa kipindi cha mwezi mmoja
View attachment 2186941
Ellie baada ya kukamilika kwa surgery hakuweza kuzungumza alitumia notepad kuwasiliana na watu. Kadri siku zilivyozidi kusogea aliweza kumung'unya baadhi ya maneno na alikuwa anaongelea ulimi (lisp) kulingana na mdomo ulivyokuwa umevimba.
View attachment 2186940
hapa bongo bima inacover mkuuMatibabu ya meno ni very expensive,sijui gharama katumia ngapi hapo,
Amependeza.
unaonaje maendeleo lakini mkuu, hiyo huduma imekusaidia ? ,na je wataalamu wanasema itachukua muda gani mpaka kukaa sawa kabisaNikiwa mdogo nilikuwa naitwa minjino...ilikuwa experience mbaya sana, nilijichukia sana. Mwaka 2009 nikaamua kuweka braces baada ya kujichanga kwa muda kiasi. Niliambiwa na daktari chanzo cha meno yangu ya juu na ya chini kukaa vibaya ni kuwa nilikuwa nayasukuma nje kwa ulimi. Kabla ya kuwekewa braces nilifanyishwa mazoezi ya namna ya kuegemeza ulimi ili nisiwe nauegesha kwenye meno. Mwaka 2012 nikatolewa braces na sasa navaa retainers kila usiku asubuhi natoa. Retainers zinahakikisha meno yanabaki kwenye position inayotakiwa. Siku hizi huduma za kurekebisha meno zipo kwa wingi nchini kwa watoto na kwa watu wazima.Wenye tatizo la dental formation mbovu wasikate tamaa
ukipata jibu nami unijulishe nahitaji
Meno bandia ukienda Mount Meru Wana hiyo huduma au Kaloleni na pia Seliani Kwa Arusha Kama Una bima wanapokea hakuna gharama kubwaukipata jibu nami unijulishe nahitaji
Mkuu kufanya marekebisho kama hayo inaweza kukosti million 1 ya madafu ?Matibabu ya meno ni very expensive,sijui gharama katumia ngapi hapo,
Amependeza.
Milioni 1 ni ndogo sana kwa kazi hiyo,hata robo ya gharama haijafika kwa hiyo bei.Mkuu kufanya marekebisho kama hayo inaweza kukosti million 1 ya madafu ?
Kwahiyo mkuu hayo meno yanaweza kuuma vitu vigumu au ni ya maoneshoMilioni 1 ni ndogo sana kwa kazi hiyo,hata robo ya gharama haijafika kwa hiyo bei.
Yanafanya kazi zote za meno mkuu,hata yanayo pandikizwa hufungwa kwa "Screw" ile kama misumari yenye thread "tredi"Kwahiyo mkuu hayo meno yanaweza kuuma vitu vigumu au ni ya maonesho