Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Jun 13, 2022 #81 Dr anastahili pongezi aisee.
Elpaul JF-Expert Member Joined Jan 19, 2018 Posts 922 Reaction score 692 Jun 24, 2022 #82 Farolito said: Wakuu, Sijui Doctor kapitia hatua ngapi kurekebisha tabasamu ila kafanya kazi ya kutukuka. Je unadhani binti angebaki na meno ya kuzaliwa au ni bora alifanya marekebisho? View attachment 2186338 Click to expand... Huyu daktari wa meno alibadilisha hadi muonekano wa ngozi??
Farolito said: Wakuu, Sijui Doctor kapitia hatua ngapi kurekebisha tabasamu ila kafanya kazi ya kutukuka. Je unadhani binti angebaki na meno ya kuzaliwa au ni bora alifanya marekebisho? View attachment 2186338 Click to expand... Huyu daktari wa meno alibadilisha hadi muonekano wa ngozi??
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 12,001 Reaction score 27,175 Jun 28, 2022 Thread starter #83 Shadeeya said: Dr anastahili pongezi aisee. Click to expand... Kweli
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 12,001 Reaction score 27,175 Jun 28, 2022 Thread starter #84 Homo Sapien said: Meno bandia ukienda Mount Meru Wana hiyo huduma au Kaloleni na pia Seliani Kwa Arusha Kama Una bima wanapokea hakuna gharama kubwa Click to expand... Meno bandia unamaanisha ya kutoa na kurudishia au dental implant?
Homo Sapien said: Meno bandia ukienda Mount Meru Wana hiyo huduma au Kaloleni na pia Seliani Kwa Arusha Kama Una bima wanapokea hakuna gharama kubwa Click to expand... Meno bandia unamaanisha ya kutoa na kurudishia au dental implant?
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 9,266 Reaction score 7,426 Jun 28, 2022 #85 Ni kweli Dr. kafanya kazi ya kutukuka ana stahili pongezi.