mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
Nimekutana nae bar toka nianzishe nae mahusiano saizi ni miez miwili ajabu kwake sipajui na hataki nipajue mfano, nikiwa nae mbali nikisema tu nimuwazie yaani nimuweke kwenye mawazo yangu haipiti masaa mawili lazima nimuone machoni kwangu, utakuta namkuta sehemu, ajabu na yeye atakwambia nilikuwa nakukumbuka sio muda, hana simu, wala mawasiliano yoyote, nimefanya nae mapenzi mara 35+ mpaka sasa lakini hajawah niomba hata mia na ukimpa hela anakataa, wakuu hiyi imekaaje kaaje? Baada ya kumali kuandika huu uzi kabla sijaposti huyu hapa mbele yangu, wakuu ngoja kwanza niongee nae, naomben mnisaidie maswali ya kumuuliza maana huwa nasahau ninapo panga kumuuliza