Huyu demu au jini maana simuelewi

Huyu demu au jini maana simuelewi

Miaka fulani kiwalani Dar niliwahi kuparamia mwanamke mmoja alikuwa mzuri sana, kumbe alikuwa anamilikiwa na "walimu" wake....basi ilikuwa kila akinipigia simu au nikimpigia akipokea lazima ataanza na maneno {habari ya sehemu fulani}, anataja jina la eneo nilipo ilhali sikumwambia kabla kuwa naenda sehemu fulani.

Ilikuwa hatari sana lakini Mungu ni mwema sana aliniokoa na lile janga

Sent using Jamii Forums mobile app
wenzako wanaona stori za kusadikika ndio maana sijataka kusimulia mengi nimeamua kuifanya insha isiyozid maneno 500 mana tukianza mwanzo had mwisho kizaz cha nyoka kigumu kuelewa
 
Miaka fulani kiwalani Dar niliwahi kuparamia mwanamke mmoja alikuwa mzuri sana, kumbe alikuwa anamilikiwa na "walimu" wake....basi ilikuwa kila akinipigia simu au nikimpigia akipokea lazima ataanza na maneno {habari ya sehemu fulani}, anataja jina la eneo nilipo ilhali sikumwambia kabla kuwa naenda sehemu fulani.

Ilikuwa hatari sana lakini Mungu ni mwema sana aliniokoa na lile janga

Sent using Jamii Forums mobile app
sanaa mkuu mana hapa bongo c pigo zangu kabisa ngoja nimwombe nauli shemeji yenu
 
Nimekutana nae bar toka nianzishe nae mahusiano saizi ni miez miwili ajabu kwake sipajui na hataki nipajue mfano, nikiwa nae mbali nikisema tu nimuwazie yaani nimuweke kwenye mawazo yangu haipiti masaa mawili lazima nimuone machoni kwangu, utakuta namkuta sehemu, ajabu na yeye atakwambia nilikuwa nakukumbuka sio muda, hana simu, wala mawasiliano yoyote, nimefanya nae mapenzi mara 35+ mpaka sasa lakini hajawah niomba hata mia na ukimpa hela anakataa, wakuu hiyi imekaaje kaaje? Baada ya kumali kuandika huu uzi kabla sijaposti huyu hapa mbele yangu, wakuu ngoja kwanza niongee nae, naomben mnisaidie maswali ya kumuuliza maana huwa nasahau ninapo panga kumuuliza
Mmefahamiana miezi 2, mmefanya mapenzi zaidi ya mara 35! Maana yake

Kufahamiana miezi 2, mapenzi zaidi ya mara 35,kiuwiano karibu kila baada ya siku 2 mnafanya mapenzi.
Linda sperm zako,utakufa.
 
Hiyo ni sawa na una mwanaume unamuelewa, lakini kila unapokutana naye anakuona na nguo ile ile moja toka siku ya kwanza mnaonana.
Siku ukivaa nguo nyingine hamkutani, ukithubutu kuvaa ile nguo hatua ya kwanza, ya pili huyu hapa
 
inawezekana siwez kukupinga na sio kaz yangu kukuaminisha ikiwa mim mwenyewe nipo njia panda
Baki hapo hapo njiapanda.

Ukijitusu kusogea kutoka hapo ndo utaona kilichomtoa mkoloni manyoya ya utosi
 
Mmefahamiana miezi 2, mmefanya mapenzi zaidi ya mara 35! Maana yake

Kufahamiana miezi 2, mapenzi zaidi ya mara 35,kiuwiano karibu kila baada ya siku 2 mnafanya mapenzi.
Linda sperm zako,utakufa.
mbona hy afathar mi bwana toka nibalehe miaka 15 sijawah kupita siku mbili bila kusex saiv nina miaka 30 kwanza nimekumbuka ngoja nilete uzi
 
mwanzoni kabisa alinipigia lakn saiz kila ukipiga inasema namba hy c sahihi +0635653255 na sijuag ya mtandao gan
Nimempigia inaniambia sina salio la kutosha. Alichofanya hataki kupokea simu za region hii.

Ili kumpata kama ameelekeza simu yake kwenye namba halisi ya dunia hii, inabidi kumpigia kwa salio la kawaida sio kifurushi.
 
Hiyo ni sawa na una mwanaume unamuelewa, lakini kila unapokutana naye anakuona na nguo ile ile moja toka siku ya kwanza mnaonana.
Siku ukivaa nguo nyingine hamkutani, ukithubutu kuvaa ile nguo hatua ya kwanza, ya pili huyu hapa🤣🤣🤣🤣
Mpaka unatamani kumwambia sina nguo moja ninazo na nyingine. 😂😂
Ila unabaki unasonya na kutukana
Siri ni nini? kuna nn nyuma ya pazia?
 
Nimekutana nae bar toka nianzishe nae mahusiano saizi ni miez miwili ajabu kwake sipajui na hataki nipajue mfano, nikiwa nae mbali nikisema tu nimuwazie yaani nimuweke kwenye mawazo yangu haipiti masaa mawili lazima nimuone machoni kwangu, utakuta namkuta sehemu, ajabu na yeye atakwambia nilikuwa nakukumbuka sio muda, hana simu, wala mawasiliano yoyote, nimefanya nae mapenzi mara 35+ mpaka sasa lakini hajawah niomba hata mia na ukimpa hela anakataa, wakuu hiyi imekaaje kaaje? Baada ya kumali kuandika huu uzi kabla sijaposti huyu hapa mbele yangu, wakuu ngoja kwanza niongee nae, naomben mnisaidie maswali ya kumuuliza maana huwa nasahau ninapo panga kumuuliza
Haji na upepo unaovuma kwa kasi mithili y kimbunga?
 
Umekutana na muhuni ,mjanja zaidi yako. Umetokea kumuamini haraka kabla hujamchunguza
 
Nimekutana nae bar toka nianzishe nae mahusiano saizi ni miez miwili ajabu kwake sipajui na hataki nipajue mfano, nikiwa nae mbali nikisema tu nimuwazie yaani nimuweke kwenye mawazo yangu haipiti masaa mawili lazima nimuone machoni kwangu, utakuta namkuta sehemu, ajabu na yeye atakwambia nilikuwa nakukumbuka sio muda, hana simu, wala mawasiliano yoyote, nimefanya nae mapenzi mara 35+ mpaka sasa lakini hajawah niomba hata mia na ukimpa hela anakataa, wakuu hiyi imekaaje kaaje? Baada ya kumali kuandika huu uzi kabla sijaposti huyu hapa mbele yangu, wakuu ngoja kwanza niongee nae, naomben mnisaidie maswali ya kumuuliza maana huwa nasahau ninapo panga kumuuliza
Hilo litakuwa jini tu limeshatatua rinda umelowa tu huko nyuma.

Nyau ww!
 
Umenikumbuka mshikaji wangu tunafanya kazi office moja,ana demu wake mmoja hivi tokea Iringa huwa tukiwa tunapiga story ikitokea tukamtaja tu huyo demu hazipiti dk 10 lazima apande hewani,. nashukuru sn maana jamaa alishatemana nae[emoji119][emoji23]
 
Back
Top Bottom