Huyu demu au jini maana simuelewi

Huyu demu au jini maana simuelewi

Umenikumbuka mshikaji wangu tunafanya kazi office moja,ana demu wake mmoja hivi tokea Iringa huwa tukiwa tunapiga story ikitokea tukamtaja tu huyo demu hazipiti dk 10 lazima apande hewani,. nashukuru sn maana jamaa alishatemana nae[emoji119][emoji23]
wahuni hawaamin
 
hii si kweli, ni wewe unaamini sana mambo ya uchawi, siku ukimuwaza afu ikatokea ukakutana nae na haukupanga, basi unaanza kumuona ni mchawi/jini, lakini sio kila siku unayomuwaza unakutana nae. Hii inaitwa cognitive bias(upendeleo wa utambuzi), unaona tu vile vitu ambavyo unaviamini.

hapo kwenye kujua kwao, si unaongea nae tu
😂😂😂cognitive bias....tuelezeee zaidi mkuu kuna kitu hapo
 
wahuni hawaamin
Hii ipo,uyu jamaa yangu yangu hata nikimkumbusha ishu yoyote kuhusu huyo demu japo washatemana lakini demu lazima apande hewani ni mikwara juu,utaskia "utaskia nimekukumbuka tu nilitaka kukupa hi!"[emoji23][emoji119]
 
Miezi 2=siku 61, mmenyanduana 35+, 61-35=26, kwa penzi jipya inawezekana kabisa
 
Kama ukimpa hela anakataa huyo ilni jini ndugu yangu kaa nae mbali wangekua ni hawa binadam tunaowafaham hawawez kataa hela.
 
😂😂😂cognitive bias....tuelezeee zaidi mkuu kuna kitu hapo
ni shortcut ambayo ubongo hutumia kuchanganua kiasi kikubwa cha taarifa

unakua unaona vitu kupitia mapendeleo yako na mitazamo yako

mfano huyu jamaa anavosema kila anapomuwaza huyo mwanamke, inatokea anakutana nae baadae, haitokei kila anapomuwaza, bali imetokea mara nyingi kiasi kwamba amehusisha na mambo ya kichawi, kwavile watu tanazoeshwa kuamini mambo ya kichawi tokea utoto, ubongo wake umetengeneza shortcut
 
Njia nzuri ya kumjua ni jina au binadamu tafuta demu mwingine piga kimya kimya, kama ni jini balaa lake utakuja kutuambia humu.
 
pale unapotaka kufanya mambo ya kiroho yawe kisayans? Mkuu Ni kwanini binadam anaota ndoto ambazo zinamatukio ya kesho kisayansi imekaaje? Mfano jana saa nane usiku niliota kuna dem kaja geto ile kumvua nguo kumchomeka mama yake akatokea, nikapewa kesi kutembea na mwanafunzi.. Ila ajabu mchana bint huyohuyo kaja gheto na sikutegemea na sikuwah kuwaza kama nitamlala bas nikajikuta nimemshawish akakubal ile namvua nguo nikakumbuka ndoto bs nikapiga cha jogoo ile bint anatoka mama yake huyo anapita vp tukio hl kisayans
 
Njia nzuri ya kumjua ni jina au binadamu tafuta demu mwingine piga kimya kimya, kama ni jini balaa lake utakuja kutuambia humu.
jana nimepita na dem ajabu leo huyu kasema naona unataka kufichua makucha yangu nikamuuliza kivip? Akajibu jifanye huelew ngoja muda ufike utanielewa nikajibu sawa ila kama kachukia flani
 
...huyo ni tapeli mmoja mkubwa sana, anakusomea ramani tu, tena itakua ana degree ya utapel katika mahusiano amehitimu chuo kikuu cha FLGU (Fraud Lovely Girls University),

Chomoka kama risas kabla hujapigwa
dah ila sina kitu cha kujivunia sasa labda ningekuwa na gar au kaz ya maana mi ni unga unga mwana ila kwa wiki kushika m3 kawaida ila sina assest ni mm na gheto langu
 
Nimekutana nae bar toka nianzishe nae mahusiano saizi ni miez miwili ajabu kwake sipajui na hataki nipajue mfano, nikiwa nae mbali nikisema tu nimuwazie yaani nimuweke kwenye mawazo yangu haipiti masaa mawili lazima nimuone machoni kwangu, utakuta namkuta sehemu, ajabu na yeye atakwambia nilikuwa nakukumbuka sio muda, hana simu, wala mawasiliano yoyote, nimefanya nae mapenzi mara 35+ mpaka sasa lakini hajawah niomba hata mia na ukimpa hela anakataa, wakuu hiyi imekaaje kaaje? Baada ya kumali kuandika huu uzi kabla sijaposti huyu hapa mbele yangu, wakuu ngoja kwanza niongee nae, naomben mnisaidie maswali ya kumuuliza maana huwa nasahau ninapo panga kumuuliza
Bro, kama kweli umemchoka... nipasie Mimi sijali ili mradi Hana vizinga!!
 
ni shortcut ambayo ubongo hutumia kuchanganua kiasi kikubwa cha taarifa

unakua unaona vitu kupitia mapendeleo yako na mitazamo yako

mfano huyu jamaa anavosema kila anapomuwaza huyo mwanamke, inatokea anakutana nae baadae, haitokei kila anapomuwaza, bali imetokea mara nyingi kiasi kwamba amehusisha na mambo ya kichawi, kwavile watu tanazoeshwa kuamini mambo ya kichawi tokea utoto, ubongo wake umetengeneza shortcut
hii ni kitu bora nimesoma siku ya leo🙌🙌🙌🙌Nashukuru sana kwa kuniheshimisha. Mkuu
 
dah ila sina kitu cha kujivunia sasa labda ningekuwa na gar au kaz ya maana mi ni unga unga mwana ila kwa wiki kushika m3 kawaida ila sina assest ni mm na gheto langu
utapel sio pesa tu, utakuja uamke huna figo
 
Back
Top Bottom