hii si kweli, ni wewe unaamini sana mambo ya uchawi, siku ukimuwaza afu ikatokea ukakutana nae na haukupanga, basi unaanza kumuona ni mchawi/jini, lakini sio kila siku unayomuwaza unakutana nae. Hii inaitwa cognitive bias(upendeleo wa utambuzi), unaona tu vile vitu ambavyo unaviamini.nikiwa nae mbali nikisema tu nimuwazie yaani nimuweke kwenye mawazo yangu haipiti masaa mawili lazima nimuone machoni kwangu
binadamu tupo aina mbili wasioamin mambo ya kiroho na wanaoamin mambo ya kiroho nazan nimeelewekahii si kweli, ni wewe unaamini sana mambo ya uchawi, siku ukimuwaza afu ikatokea ukakutana nae na haukupanga, basi unaanza kumuona ni mchawi/jini, lakini sio kila siku unayomuwaza unakutana nae. Hii inaitwa cognitive bias(upendeleo wa utambuzi), unaona tu vile vitu ambavyo unaviamini.
hapo kwenye kujua kwao, si unaongea nae tu
Nimekisoma kitabu sema hajatoa soln ya tatizo,inaonekana mwandishi la Google na kuunganisha vitu viwili na kuandika mengine kwa jinsi alivyoelewaHuu ndio msaada wangu kwakoView attachment 2769454
uwe unamuomba ww pesa mkuu afu uone atakupa..?mchango wako tafathar nisije nikapotea kimazingala mkanikosa hapa jf maana mi mtu muhmu sana hapa ndan tena sana na wiki ijayo nakaribia kugombea u moderote wa humu kura zenu tafathar
Wish kila mmoja wetu angefungua hii attachment na kuisoma kuna watu wangelala nje leo.Hata kama umewahi kuyajua haya mambo tunasahau kurudia ni hekima.Haya mambo bwana pyuuuuHuu ndio msaada wangu kwakoView attachment 2769454