wenzako wanaona stori za kusadikika ndio maana sijataka kusimulia mengi nimeamua kuifanya insha isiyozid maneno 500 mana tukianza mwanzo had mwisho kizaz cha nyoka kigumu kuelewaMiaka fulani kiwalani Dar niliwahi kuparamia mwanamke mmoja alikuwa mzuri sana, kumbe alikuwa anamilikiwa na "walimu" wake....basi ilikuwa kila akinipigia simu au nikimpigia akipokea lazima ataanza na maneno {habari ya sehemu fulani}, anataja jina la eneo nilipo ilhali sikumwambia kabla kuwa naenda sehemu fulani.
Ilikuwa hatari sana lakini Mungu ni mwema sana aliniokoa na lile janga
Sent using Jamii Forums mobile app
sanaa mkuu mana hapa bongo c pigo zangu kabisa ngoja nimwombe nauli shemeji yenuMiaka fulani kiwalani Dar niliwahi kuparamia mwanamke mmoja alikuwa mzuri sana, kumbe alikuwa anamilikiwa na "walimu" wake....basi ilikuwa kila akinipigia simu au nikimpigia akipokea lazima ataanza na maneno {habari ya sehemu fulani}, anataja jina la eneo nilipo ilhali sikumwambia kabla kuwa naenda sehemu fulani.
Ilikuwa hatari sana lakini Mungu ni mwema sana aliniokoa na lile janga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmefahamiana miezi 2, mmefanya mapenzi zaidi ya mara 35! Maana yakeNimekutana nae bar toka nianzishe nae mahusiano saizi ni miez miwili ajabu kwake sipajui na hataki nipajue mfano, nikiwa nae mbali nikisema tu nimuwazie yaani nimuweke kwenye mawazo yangu haipiti masaa mawili lazima nimuone machoni kwangu, utakuta namkuta sehemu, ajabu na yeye atakwambia nilikuwa nakukumbuka sio muda, hana simu, wala mawasiliano yoyote, nimefanya nae mapenzi mara 35+ mpaka sasa lakini hajawah niomba hata mia na ukimpa hela anakataa, wakuu hiyi imekaaje kaaje? Baada ya kumali kuandika huu uzi kabla sijaposti huyu hapa mbele yangu, wakuu ngoja kwanza niongee nae, naomben mnisaidie maswali ya kumuuliza maana huwa nasahau ninapo panga kumuuliza
Kufahamiana miezi 2, mapenzi zaidi ya mara 35,kiuwiano karibu kila baada ya siku 2 mnafanya mapenzi.Nimekutana nae bar toka nianzishe nae mahusiano saizi ni miez miwili ajabu kwake sipajui na hataki nipajue mfano, nikiwa nae mbali nikisema tu nimuwazie yaani nimuweke kwenye mawazo yangu haipiti masaa mawili lazima nimuone machoni kwangu, utakuta namkuta sehemu, ajabu na yeye atakwambia nilikuwa nakukumbuka sio muda, hana simu, wala mawasiliano yoyote, nimefanya nae mapenzi mara 35+ mpaka sasa lakini hajawah niomba hata mia na ukimpa hela anakataa, wakuu hiyi imekaaje kaaje? Baada ya kumali kuandika huu uzi kabla sijaposti huyu hapa mbele yangu, wakuu ngoja kwanza niongee nae, naomben mnisaidie maswali ya kumuuliza maana huwa nasahau ninapo panga kumuuliza
Baki hapo hapo njiapanda.inawezekana siwez kukupinga na sio kaz yangu kukuaminisha ikiwa mim mwenyewe nipo njia panda
Jamaa anaidanganya mpaka dushe yake.Mmefahamiana miezi 2, mmefanya mapenzi zaidi ya mara 35! Maana yake
Kufahamiana miezi 2, mapenzi zaidi ya mara 35,kiuwiano karibu kila baada ya siku 2 mnafanya mapenzi.
Linda sperm zako,utakufa.
mbona hy afathar mi bwana toka nibalehe miaka 15 sijawah kupita siku mbili bila kusex saiv nina miaka 30 kwanza nimekumbuka ngoja nilete uziMmefahamiana miezi 2, mmefanya mapenzi zaidi ya mara 35! Maana yake
Kufahamiana miezi 2, mapenzi zaidi ya mara 35,kiuwiano karibu kila baada ya siku 2 mnafanya mapenzi.
Linda sperm zako,utakufa.
Nimempigia inaniambia sina salio la kutosha. Alichofanya hataki kupokea simu za region hii.mwanzoni kabisa alinipigia lakn saiz kila ukipiga inasema namba hy c sahihi +0635653255 na sijuag ya mtandao gan
Hiyo ni uongooooJamaa anaidanganya mpaka dushe yake.
Jasiri sana
Siri ni nini? kuna nn nyuma ya pazia?Hiyo ni sawa na una mwanaume unamuelewa, lakini kila unapokutana naye anakuona na nguo ile ile moja toka siku ya kwanza mnaonana.
Siku ukivaa nguo nyingine hamkutani, ukithubutu kuvaa ile nguo hatua ya kwanza, ya pili huyu hapa🤣🤣🤣🤣
Mpaka unatamani kumwambia sina nguo moja ninazo na nyingine. 😂😂
Ila unabaki unasonya na kutukana
Haji na upepo unaovuma kwa kasi mithili y kimbunga?Nimekutana nae bar toka nianzishe nae mahusiano saizi ni miez miwili ajabu kwake sipajui na hataki nipajue mfano, nikiwa nae mbali nikisema tu nimuwazie yaani nimuweke kwenye mawazo yangu haipiti masaa mawili lazima nimuone machoni kwangu, utakuta namkuta sehemu, ajabu na yeye atakwambia nilikuwa nakukumbuka sio muda, hana simu, wala mawasiliano yoyote, nimefanya nae mapenzi mara 35+ mpaka sasa lakini hajawah niomba hata mia na ukimpa hela anakataa, wakuu hiyi imekaaje kaaje? Baada ya kumali kuandika huu uzi kabla sijaposti huyu hapa mbele yangu, wakuu ngoja kwanza niongee nae, naomben mnisaidie maswali ya kumuuliza maana huwa nasahau ninapo panga kumuuliza
[emoji16][emoji16] unamtisha mdauUlishawahi kunyonywa damu..?
Kama bado upo mbioni..[emoji23]
Nimekutana nae bar toka nianzishe nae mahusiano saizi ni miez miwili ajabu kwake sipajui na hataki nipajue mfano, nikiwa nae mbali nikisema tu nimuwazie yaani nimuweke kwenye mawazo yangu haipiti masaa mawili lazima nimuone machoni kwangu, utakuta namkuta sehemu, ajabu na yeye atakwambia nilikuwa nakukumbuka sio muda, hana simu, wala mawasiliano yoyote, nimefanya nae mapenzi mara 35+ mpaka sasa lakini hajawah niomba hata mia na ukimpa hela anakataa, wakuu hiyi imekaaje kaaje? Baada ya kumali kuandika huu uzi kabla sijaposti huyu hapa mbele yangu, wakuu ngoja kwanza niongee nae, naomben mnisaidie maswali ya kumuuliza maana huwa nasahau ninapo panga kumuuliza
Yani mpaka usemekusema nini mkuu
Atishike tu[emoji16][emoji16] unamtisha mdau
Hilo litakuwa jini tu limeshatatua rinda umelowa tu huko nyuma.Nimekutana nae bar toka nianzishe nae mahusiano saizi ni miez miwili ajabu kwake sipajui na hataki nipajue mfano, nikiwa nae mbali nikisema tu nimuwazie yaani nimuweke kwenye mawazo yangu haipiti masaa mawili lazima nimuone machoni kwangu, utakuta namkuta sehemu, ajabu na yeye atakwambia nilikuwa nakukumbuka sio muda, hana simu, wala mawasiliano yoyote, nimefanya nae mapenzi mara 35+ mpaka sasa lakini hajawah niomba hata mia na ukimpa hela anakataa, wakuu hiyi imekaaje kaaje? Baada ya kumali kuandika huu uzi kabla sijaposti huyu hapa mbele yangu, wakuu ngoja kwanza niongee nae, naomben mnisaidie maswali ya kumuuliza maana huwa nasahau ninapo panga kumuuliza
duuh basi we mkumbushie apo apo na akikujbu utiambie na siebaada tu yakusoma maon yako nimejaribu kumuomba, kaanza na kusema "inashangaza kidogo ngoja nitakujibu baadae' ndio nilivyoambiwa