TREN Haina breki za hivyo mkuuKuna kipande cha sinema kinasambaa sana kikimuonyesha afisa Usafirishaji a.k.a bodaboda akilazimisha kupita mbele ya treni iliyo kwenye mwendo.
View attachment 2577849
Ila naona gafla hiyo treni ikasimama gafla kitu ambacho sikuwahi na sijawahi kuona wala kushuhidia breki za haraka za treni kuwa sawa na gari.
Nashangaa dereva toyo alishuka kama pikipiki imedondoka tu pembeni ya nyasi na wala hakushtuka alikuwa anajivuta kutoka kwenye toyo yake.
View attachment 2577850
Kama kuna mwenye hiyo sinema anaweza kuituoia hapa wadau waichakate.
Ina breki gani injinia wa treniTREN Haina breki za hivyo mkuu
Wanaigiza movie huyo bodaboda ndio Superman..Inawezekana ni tangazo
Huyo boda mbona kama anajipeleka mwenyewe maana chuma inakuja anaiona na anajiandaa kabisa πhii itakuwa chezo tuπ€
Ngoja nikuweke sawa kidogo kwanza unaposema treni maana yake ni locomotive na mabehewa yake. Sasa hiyo locomotive huwa na breki za aina 4.TREN Haina breki za hivyo mkuu