Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Mhhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huwezi kujua kuwa hiyo klip ina location zaidi ya moja?Ngoja nikuweke sawa kidogo kwanza unaposema treni maana yake ni locomotive na mabehewa yake. Sasa hiyo locomotive huwa na breki za aina 4.
1. Independent brake hii hutumika wakati locomotive ikiwa peke yake bila mabehewa na ni ya haraka zaidi.
2. Automatic brake hii hutumika locomotive ikiwa na mabehewa yake sasa hii kidogo huchukua muda kufanya application ndiyo hupelekea kupata long distance ili kusimama kwasababu mabehewa hayasimamishwi ghafla yanaweza kuanguka.
3. Dynamic brake hii ni brake ya kiumeme hutumika kupunguza mwendo wa treni siyo kusimama.
4. Parking brake hii hutumika locomotive ikiwa katika hali ya kusimama pasina matumizi tena au wakati wa matengenezo.
Sasa basi hilo tukio unaloliona hapo hiyo treni kwanza ilikuwa na behewa moja (passenger coach) pili haikuwa na speed kubwa kabisa ndiyo maana huyo locomotive driver aliweza kuidhibiti kwa urahisi sana ingekuwa na speed hata 20km/h huyo asingepona.
Umewahi kuendesha treni? Nikuulize swali ukiachana na position ya emergency katika DBV kwanini penalty brake application ipo au kwanini inapotokea Break in two au train kugawanyika Emergency brake hutokea na kwa distance fupi mno tofauti na service brake application?Hivi huwezi kujua kuwa hiyo klip ina location zaidi ya moja?
Mbona simple tu?
Halafu gari Moshi haliwezi kusimama eti tu Bodaboda anakrosi reli.
Na kumbuka hilo dudu haligongi chochote bali linagongwa
Haina tofauti na yule muuza mahindi ya kuchoma wa Dumila enzi za JiweKuna kipande cha sinema kinasambaa sana kikimuonyesha afisa Usafirishaji a.k.a bodaboda akilazimisha kupita mbele ya treni iliyo kwenye mwendo.
View attachment 2577849
Ila naona gafla hiyo treni ikasimama gafla kitu ambacho sikuwahi na sijawahi kuona wala kushuhidia breki za haraka za treni kuwa sawa na gari.
Nashangaa dereva toyo alishuka kama pikipiki imedondoka tu pembeni ya nyasi na wala hakushtuka alikuwa anajivuta kutoka kwenye toyo yake.
View attachment 2577850
Kama kuna mwenye hiyo sinema anaweza kuituoia hapa wadau waichakate.
Beating about the bush!Umewahi kuendesha treni? Nikuulize swali ukiachana na position ya emergency katika DBV kwanini penalty brake application ipo au kwanini inapotokea Break in two au train kugawanyika Emergency brake hutokea na kwa distance fupi mno tofauti na service brake application?
Wangapi wanasimama katika makutano ya barabara na reli kwa kuwapuuza tu wahisika kama hivyo endapo kama treni itakuwa ndefu sana may be unit 42 ni ngumu sana kusimama gafla ikiwa na speed approximately 50km/hr. Sasa angalia hiyo clip uone ni unit 2 na mwendo mdogo huo umuue huyo kiumbe wa nini?
Siyaandiki haya humu kwa kutaka kufurahisha mtu by experience takribani 25 years na kuachana nayo.
Siyo movie brother watu wanadharau tu hiyo ilikuwa ni morogoro tabora fikiria mtu kapigiwa honi zaidi ya mara 5 na bado akaingia na ikatokea collision watu wanadharau sana treni mfano mwingine hata kuna watu wamegusia manyoni napo hivyo hivyo. Hayo matukio kwa aliyewahi oparate locomotive hashangai kaka.Beating about the bush!
Issue si TREN tu. Study very carefully the clip. Utapata jibu kuwa hiyo ni movie
Hiyo video imeandaliwa mahususi na TRC kwa ajili ya kutoa elimu kwa watumiaji wa barabara kwenye maeneo reli inapokatizaBeating about the bush!
Issue si TREN tu. Study very carefully the clip. Utapata jibu kuwa hiyo ni movie
Sasa chief mbona kama unasoma na uelewi hadi nimepitia replies ndo kukutana na hili jibu lako?.Hiyo video imeandaliwa mahususi na TRC kwa ajili ya kutoa elimu kwa watumiaji wa barabara kwenye maeneo reli inapokatiza
Mimi nimeongelea dhima ya video iliyowekwa. Imesambazwa kwa jamii kwa lengo la kutoa elimu. Sasa wewe unavyosema nini kimetokea nashindwa kukuelewaSasa chief mbona kama unasoma na uelewi hadi nimepitia replies ndo kukutana na hili jibu lako?.
Andiko limeuliza swali na wewe ulipaswa ujibu andiko but hamna shida tufanye hivi;
TRC wameandaa hiki kituko kwa ajili ya kutoa elimu sasa basi, toa muongozo imekuaje baada ya tukio hilo?
Hata Mimi ninayo hiyo video, tena pembeni kuna afande kasimama,Maneno ya action/Cut pia yanasikika,na pembeni Kama kawaida Wabongo wamejazana wanaangalia movie hilo!!Mimi nimeongelea dhima ya video iliyowekwa. Imesambazwa kwa jamii kwa lengo la kutoa elimu. Sasa wewe unavyosema nini kimetokea nashindwa kukuelewa
How do you know real life is real? How do you sknow subway surfer world is fake?he is trying to play subway surfer in real life.