Huyu dereva wa abood vipi?

Huyu dereva wa abood vipi?

alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
2,032
Reaction score
3,197
Mda huu nipo ndani ya basi la Abood naelekea Moro ajabu huyu bwana kaweka picha ya mavitisho tisho tu mara mziki ule wa Pepe kale ule wa vimbilikimo!Yaani ni tabu tupu!

Naomba namba ya trafiki ni wajuze tafadhali.
 
Lengo lako ni nn labda..maana havihusiani na ubovu wa gari au mwendokasi...
 
Mda huu nipo ndani ya basi la Abood naelekea Moro ajabu huyu bwana kaweka picha ya mavitisho tisho tu mara mziki ule wa Pepe kale ule wa vimbilikimo!Yaani ni tabu tupu!

Naomba namba ya trafiki ni wajuze tafadhali.

MKUU umevuta kitu dry bila mixer Nini
 
Mabasi ya Abood ifikapo mida ya jioni huwa wanakimbiza mabasi vibaya sana, maana wanajua mida hiyo hakuna matochi barabarani! Halafu mabati mengi ya mikoani Siku hizi wanakasumba ya kuwawekea abiria video Kwa sauti kubwa ili kuwazuga abiria wasistukie mwendo kasi wanaoendesha! Buyer beware!
 
Km ulikuwepo!
 
Mkuu unaonaje ukimwambia ili awabadilishie
 
Wasikuzingue wala nini vua nguo tembea uchi ndani ya gari
 
Mda huu nipo ndani ya basi la Abood naelekea Moro ajabu huyu bwana kaweka picha ya mavitisho tisho tu mara mziki ule wa Pepe kale ule wa vimbilikimo!Yaani ni tabu tupu!

Naomba namba ya trafiki ni wajuze tafadhali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeh kazi ipo hapo, kwahiyo unataka kushtaki hilo jambo ahahahaaaaaa
 
No doubt We Tim kiba ,kwa hiyo sangulo Pepe kale ukakukera,wale mbilikimo wana shida gan, mi nkajua saut lbd kubwa inaleta kero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom